Gbagbo awataka askari wa UN waondoke Ivory Coast

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Ivory Coast President Laurent Gbagbo ordered all U.N. peacekeeping forces out of the country Saturday.

Source: CNN
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.
 
Gbabo ni mdhulumaji na kumwachia aongoze ni kuhalalisha dhuluma yake. Hell no Outtarra asikubali kufanya hivyo.
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.

Kwa nini Gbabgbo asimuachie Qattara ambaye alitangazwa na tume kuwa ni mshindi for the sake of the country?
 
Afrika tuna tabu sana. Wakati nchi Kama Kyrgyzstan zimeonyesha maturity ya kuunda serikali ya vyama vitatu licha ya matatizo kwenye uchaguzi, sisi mpaka aje mzungu kutusimamia na mtutu wa bunduki utumike. SMH
 
Nina wasiwasi Gbagbo nishabiki wa Man U, alitaka Drogba "atoke kwenye mchezo" kesho. bahati nzuri mechi imeharishwa kwa ajili ya sababu za kiusalama.
 
Viongozi wengi wa Africa hawaingii kiuhalali madarakani na huo ni mfano tu. Huingia madarkani kwa kuiba kura na wakishidwa hutumia mabavu.

Hawataki kukosolewa kwa kisingizia kuwa wao ni huru na hawapaswi kuingiliwa na mataifa ya nje! Hali hii inaduamaza democrasia Africa ambapo ni sisi wenyewe wafrica inatupasa kuchukua hatua na siyo kusubiria walio nje ya Bara la Africa,
 
hizi thraed zimekutana nishaileta hapa mwanzo

MODS UNGANISHENI HIZI THREAD MBILI
 
Kwa nini Gbabgbo asimuachie Qattara ambaye alitangazwa na tume kuwa ni mshindi for the sake of the country?

Inasemekana jamaa kanunuliwa na whites kumtangaza Quattara mshindi. Wazungu wana maslah yao binafsi na ndio maana wameng'ang'ania Gabgo atoke manake hawamtaki...kwa nini hawa International forces waelemee upande mmoja tu??
Tuna uhakika gani kuwa Qattara ni mshindi halali wa uraisi?
 
Tayari fingerpointing zishaanza na zinaenda kwa wale wale usual suspects (wazungu). All this I believe is propaganda by Gbabo in order to stoke up nationalism sentiments. He will do anything to ensure he stays in power. Stupid fool
 
Inasemekana jamaa kanunuliwa na whites kumtangaza Quattara mshindi. Wazungu wana maslah yao binafsi na ndio maana wameng'ang'ania Gabgo atoke manake hawamtaki...kwa nini hawa International forces waelemee upande mmoja tu??
Tuna uhakika gani kuwa Qattara ni mshindi halali wa uraisi?

Hebu ondoka hapa na arguments zako za kitoto
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.
Jamani Leornado! mwenye uchu wa madaraka ni nani? ni Qattara ambaye kachaguliwa kihalali au Gabgo anayechakachua? Kama kweli Quattara ni mroho wa madaraka uchaguzi ulikuwa wa nini? mie watanzania wengine hata sijui kama mna chembe ya kufikiri. kwa nini usiseme Gabgo aondoke kwa amani ili damu isimwagike? Watu wengine siwaelewi kabisa namna yenu ya kuwaza na kuamua. Au kwa kuwa Dr Slaa alichukua maamuzi hayo sasa itakuwa ni mchezo wa kawaida? hapana.
 
He naona nimetibua hali ya hewa...huo ni mtazamo tu. Mbona mnakuwa na hasira saana mabroda?
 
Huyo ni Kikwete wa Ivory Coast. Tofauti ya Ivory Coast na Tz ni kuwa Dr. Slaa amepigwa na chini Tume ya uchaguzi na yeye akaamua kukubali kumwachia Kikwete madaraka.
 
Comment ya mwananchi mmoja FB kwenye profile ya kikwete, nadhani wengi hatujui kwa nini kikwete kakaa kimya kwenye swala la ivory coast....

"Mheshimiwa,nahisi hawaja kushirikisha kwa karibu viongozi wenzako wa afrika kuhusu suara la ivory coast,kwa viongozi kukatalia kwenye madaraka. Washawishi mfanye kama ulivyo fanya comoro,kumtoa aliyekuwa anataka urais bila ridha ya wananchi wengi. Mtoeni huyo wa ivory coast kabla ya ocampo kwenda".
 
He naona nimetibua hali ya hewa...huo ni mtazamo tu. Mbona mnakuwa na hasira saana mabroda?

Si kila mtazamo ukija kichwani basi unarushwa tu JF, unahitaji kufikiri. Huwezi kuleta arguments laini kwa visingizio vya mtazamo. Mitazamo mingine ni tenge, huhitaji watu wakukosoe ndiyo ujishtukie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom