GB 80 kwa 200 vodacom

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,791
4,679
Leo kipindi naangalia salio kwenye akaunti ya voda nikaona kuna ujumbe unaosema ....."pata hadi GB 80 kwa Tsh 200! tu piga *149*01# sasa" ukienda huko sioni chochote mwenye uelewa wa hili tafadhari.
 
Back
Top Bottom