Gazeti maarufu la ujerumani la ongelea sakata ya kufunga kijiji kizima Tanzania

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
MAGAZETI MAARUFU LA UJERUMANI LA ONGELEA SAKATA YA KUFUNGA KIJIJI KIZIMA TANZANIA.

TANSANIA
Polizei will ein gesamtes Dorf festnehmen

In dem ostafrikanischen Land will die Polizei gleich ein ganzes Dorf einbuchten. Mehr als 1500 Menschen werden verdächtigt, eine Wasserleitung zerstört zu haben.

Nach der Zerstörung einer Wasserleitung will die Polizei im ostafrikanischen Tansania zu einem drastischen Schritt greifen und ein ganzes Dorf hinter Gitter bringen. Wie die Polizei am Donnerstag mitteilte, wird den rund 1600

Einwohnern des Dorfes Ngolo zur Last gelegt, mutwillig Wasserrohre zerstört zu haben, die in einen anderen Ort der Region Mbeya führten. Der örtliche Gouverneur Albert Chalamila hatte daher am Mittwoch angeordnet, alle Bewohner des Dorfes festzunehmen

Die Polizei entsandte daraufhin am Donnerstag ein Großaufgebot, um den Befehl auszuführen. Er habe „genügend Fahrzeuge mit genügend Treibstoff und Beamten“ losgeschickt, um alle Dorfbewohner festzusetzen,

sagte der regionale Polizeichef Ulrich Matei. Schließlich hätten die Menschen in Ngolo „wirtschaftliche Sabotage“ begangen und von der Regierung finanzierte Wasserleitungen einfach zerstört. Ngolo liegt in einem Gebiet, das unter Wasserknappheit leidet.

TANZANIA

Polisi wanataka kukamata kijiji kote

Katika nchi ya Mashariki mwa Afrika, polisi wanataka kushtaki kijiji kote. Watu zaidi ya 1,500 wanatuhumiwa kwa wameharibu bomba la maji.

baada ya uharibifu wa bomba la maji, polisi wa mashariki mwa Tanzania wanataka kuchukua hatua kubwa na kuleta kijiji kizima kwenye mkono wa Sheria, Kama ambavyo polisi ilitangaza Alhamisi,

wenyeji wa kijiji cha Ngolo zaidi ya 1,600 wanashutumiwa kwa kuangamiza mabomba ya maji kwa uharibifu ambao ulitokea mahali pengine katika eneo la Mbeya. Kwa hiyo Mkuu wa mkoa Albert Chalamila aliamuru Jumatano kukamka wakazi wote wa kijiji,

Jeshi la polisi lilituma kikosi kikubwa siku ya Alhamisi kutekeleza amri hiyo. Alimtuma "magari ya kutosha yenye mafuta na maafisa wa kutosha" ili kukamatwa wanakijiji wote, alisema mkuu wa polisi wa mkoa wa eneo hilo kamanda Ulrich Matei.

baada ya yote, watu wa Ngolo wamefanya "uharibifu wa kiuchumi" na kuharibu mabomba ya maji yaliyofadhiliwa na serikali. Ngolo iko katika eneo ambalo linakabiliwa na uhaba wa maji
Polizei in Tansania will ein gesamtes Dorf festnehmen
 
Hii ni aina mojawapo wa kutangaza utalii wetu!

Tanzania hatujulikani nje ya nchi kwa sababu hatufanyi vituko vya kuvutia watalii!

Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kubuni aina mojawapo ya kuwafanya watu wa nje waijue Tanzania!

Umepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Wanakijiji wamewataja waliofanya hujuma lakini vile vile umeitangaza Tanzania kwenye nchi za nje.
 
Nafikiri wanatekeleza amri halali kama kawaida yao ila wakumtizama kama katimia ni aliyetoa amri hiyo.
 
Inahudhunisha, inasikitisha, ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu
 
Attachments

  • IMG_1770.JPG
    IMG_1770.JPG
    42.1 KB · Views: 39
Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kubuni aina moja
Mkuu hili la Collective hata kuna hakimu mmoja huko US aliwasweka ndani watu wote waliokuwa wakisikiliza kesi.

Kisa kilikuwa ni simu ya mkononi imelia akawauliza ni simu ya nani,wakanyamaza ndipo akaamuru wote waende gerezani.
 
Ni habari tu kama ile ya gazeti la tanzania ya bomu la vita ya pili ya dunia laibuliwa kwenye makazi ya watu ujerumani!
 
Je. Gazeti hili limegusia chochote kuhusu watuhumiwa wa ugaidi wa kundi la ISIS kuwemo kwenye orodha ya wale wanosubiria kupewa hati ya " Asylum" nchini humo, ujerumani?
 
MAGAZETI MAARUFU LA UJERUMANI LA ONGELEA SAKATA YA KUFUNGA KIJIJI KIZIMA TANZANIA.

TANSANIA
Polizei will ein gesamtes Dorf festnehmen

In dem ostafrikanischen Land will die Polizei gleich ein ganzes Dorf einbuchten. Mehr als 1500 Menschen werden verdächtigt, eine Wasserleitung zerstört zu haben.

Nach der Zerstörung einer Wasserleitung will die Polizei im ostafrikanischen Tansania zu einem drastischen Schritt greifen und ein ganzes Dorf hinter Gitter bringen. Wie die Polizei am Donnerstag mitteilte, wird den rund 1600

Einwohnern des Dorfes Ngolo zur Last gelegt, mutwillig Wasserrohre zerstört zu haben, die in einen anderen Ort der Region Mbeya führten. Der örtliche Gouverneur Albert Chalamila hatte daher am Mittwoch angeordnet, alle Bewohner des Dorfes festzunehmen

Die Polizei entsandte daraufhin am Donnerstag ein Großaufgebot, um den Befehl auszuführen. Er habe „genügend Fahrzeuge mit genügend Treibstoff und Beamten“ losgeschickt, um alle Dorfbewohner festzusetzen,

sagte der regionale Polizeichef Ulrich Matei. Schließlich hätten die Menschen in Ngolo „wirtschaftliche Sabotage“ begangen und von der Regierung finanzierte Wasserleitungen einfach zerstört. Ngolo liegt in einem Gebiet, das unter Wasserknappheit leidet.

TANZANIA

Polisi wanataka kukamata kijiji kote

Katika nchi ya Mashariki mwa Afrika, polisi wanataka kushtaki kijiji kote. Watu zaidi ya 1,500 wanatuhumiwa kwa wameharibu bomba la maji.

baada ya uharibifu wa bomba la maji, polisi wa mashariki mwa Tanzania wanataka kuchukua hatua kubwa na kuleta kijiji kizima kwenye mkono wa Sheria, Kama ambavyo polisi ilitangaza Alhamisi,

wenyeji wa kijiji cha Ngolo zaidi ya 1,600 wanashutumiwa kwa kuangamiza mabomba ya maji kwa uharibifu ambao ulitokea mahali pengine katika eneo la Mbeya. Kwa hiyo Mkuu wa mkoa Albert Chalamila aliamuru Jumatano kukamka wakazi wote wa kijiji,

Jeshi la polisi lilituma kikosi kikubwa siku ya Alhamisi kutekeleza amri hiyo. Alimtuma "magari ya kutosha yenye mafuta na maafisa wa kutosha" ili kukamatwa wanakijiji wote, alisema mkuu wa polisi wa mkoa wa eneo hilo kamanda Ulrich Matei.

baada ya yote, watu wa Ngolo wamefanya "uharibifu wa kiuchumi" na kuharibu mabomba ya maji yaliyofadhiliwa na serikali. Ngolo iko katika eneo ambalo linakabiliwa na uhaba wa maji
Polizei in Tansania will ein gesamtes Dorf festnehmen
Hawa nao wamekosa kabisa habari za kuandika ? Duniani huko yapo mengi sana mabaya...wajikite huko
 
Tatizo lipo wapi hapo?
Uturuki ilikamata watu laki mbili baada ya kuzima jaribio la kutaka kumpindua Rais Tayyep Erdogan
Baada ya mchujo mkali walibaki watu 1500 na majenerali 15 na wote huenda wakanyongwa au kula kifungo cha maisha
Ni wakati wa watanzania kuishi kwa kufuata sheria,ukimuona fulani kaharibu bomba halafu ukakaa kimya,ni kosa utashitakiwa na mshitakiwa uliemuona kwa kuhujumu uchumi
 
aibu ya nchi, makada wa CCM ni mataahira!! huwezi kuwa CCM kama una akili timamu kwasababu chama hicho cha "kijamaa" hakikuanzishwa na falsafa ya "free thinking" bali wanachama wanapaswa kumwachia "mwenyekiti" maswala yote yanayohitaji akili na wao kazi yao ni kudumisha fikra za mwenyekiti na kwa bahati mbaya mwenyekiti wao wa sasa naye hazimtoshi, matokeo ndio haya!
 
Tatizo lipo wapi hapo?
Uturuki ilikamata watu laki mbili baada ya kuzima jaribio la kutaka kumpindua Rais Tayyep Erdogan
Baada ya mchujo mkali walibaki watu 1500 na majenerali 15 na wote huenda wakanyongwa au kula kifungo cha maisha
Ni wakati wa watanzania kuishi kwa kufuata sheria,ukimuona fulani kaharibu bomba halafu ukakaa kimya,ni kosa utashitakiwa na mshitakiwa uliemuona kwa kuhujumu uchumi
Kama mabomba yalikatwa na watu wasiojulikana mtawakamataje wanakijiji?
 
Unajaza seva na habari zako za udaku tuuu hizo eti gazeti maalufu...hahahahaaaa huo umaaalufu ulikuletea ugali nyumbani kwenu? fanyeni kazi huuu udaku sio mzuri kwa wanaume ohoooo
 
Back
Top Bottom