Gazeti linalomilikiwa na mwizi Na. 1 lamtukana Dr Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti linalomilikiwa na mwizi Na. 1 lamtukana Dr Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 28, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]Leo gazeti la RAI linalomilikiwa na mwizi wa Sh bilioni 40/- kutoka EPA, Rostam Aziz limemtukana Dr Slaa na kumuita kila majina machafu – udini, umbumbumbu, ulaghai etc.[/FONT]

  [FONT=&quot]Mtakumbuka Rostam anakingwa na JK katika tuhuma hizo ambazo hela zilizoibiwa ndiyo zilimuingiza madarakani mwaka 2005.[/FONT]

  [FONT=&quot]Hadi sasa Rostam hajakamatwa kushitakiwa, mojawapo ya kitendo ambacho ndicho kinachosababisha JK kukataliwa na wananchi, ambao wanaona rais huyo amesalimisha mamlaka yake yote kwa kikundi cha mafisadi wachache wa kihindi huku akicheka cheka na kuonyesha meno.[/FONT]
   
 2. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dawa ni moja tuuu, Just to Value your Vote !!! Vote for Changes !!! Vote for Chadema Candidate's !!!

  Hio ndio dawa mbadala !!!!
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuna watu nchi hii ni mabwege wa kutupwa, watu na taaluma zao za habari wengine wamesomea ulaya na marekani lakini wananunuliwa bei rahisi kabisa na kugeuka kuwa watumwa kama vile hawajasoma kabisa.
  kuna rafiki yangu mmoja pale siku hizi hatutafutani wala kuzungumza kabisa kwa sababu ya ujinga wanaouandika rai namimi nikaamua kumpa vidonge vyake hadi ameamua kununa!! haya magazeti msipoteze muda kuyasoma na ukilisoma usiumize kichwa chako kwani kiama chao kimefika.
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,597
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Sahihisho: .RAI SIYO GAZETI, NI TOILET PAPER.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Juna nilikuwa Tanga Mjini. Katika jambo lililonifurahisha ni kuona watu wananunua zaidi magazeti ya RaiaMwema, Mwanahalisi, Tanzania Daima na kuacha gazeti la Mtanzania likiwa lundo kubwa tu. Hii inaonesha namna watanzania wasivyotaka habari za kipuuzi.

  kwa mawazo yangu, Dr. Slaa akishika madaraka lazima awafikishe wakwapuaji wote wa fedha za EPA akianza na rostam. haiwezekani mtu binafsi aichezee nchi namna hivyo halafu abaki salama.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Gazeti hizo ofisini kwangu wanaleta kama komprimentari tena mtz yanaletwa mawili na the african uwezikuhamini sinaga mda wakuyasoma ikifika wakatiwakuyasoma baada yakusoma mengine hujikuta moody inapotea ya kusoma kiujumla uyachukuliakama ya shigongo.
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Asante sana Douglas! Hembu fikiri mpaka Rostam akadiriki kulinunua gazeti la Rai kutoka kwa Jenerali Ulimwengu akifikiri kua atakua amemkomesha kutoandika habari za Mafisadi akiwapo yeye Rostam Aziz kumbe kauziwa Gazeti lakini ile akili ya majemedari wa uandishi wa habari imebaki kwao! Pole sana Rostam Azizi fanya juu chini ukanunue na magazeti ya Mwananchi/Mwanahalisi/Raia Mwema! Hatufichi uchafu wako baba wewe ni fisadi number moja nchi hii! Natumaini ingekua ulikua unaishi Uganda ile enzi ya Nduli Idd Amin wakati aliwafungisha wadosi mizigo yao waiache nnchi ya uganda kweli natumaini Amin angezaa na wewe kwa ufisadi wako! Subiri Dr.Slaa angie ndani ya nyumba natumaini utaukana urai wa Tanzania kama unavyojifanya kua wewe ni Mtanzania.
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Zaidi ya kusoma heading za gazeti hilo nani anasoma ? Makamba , jk, tambwe na majuha wengine.
   
 10. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  R.A deserves a death sentence!!!! :nono:
   
 11. rennychiwa

  rennychiwa Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukiona samaki anatapatapa kutoka nje ujue basi hayo maji yamekuwa ya moto.
  Ukiwa ndani ya gari CCM ukasalimika basi usirudie tena kupanda hilo gari. Kwani limetembea muda mrefu bila kufanyiwa marekebisho. Hata spare zake hazipatikani tena, linatembea kwa kudra za mwenyezi mungu nje ya balabala. Mwisho wake umekaribia.

  Kura yako ina nguvu zaidi ya Risasi.
   
Loading...