Gazeti La Uwazi Lamfanyia Mvungi Unyama Wa Kutisha!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,993
Gazeti La Uwazi La Leo Limeandika Habari Ya Marehemu Alozikwa Na Baadae Kukutwa Wodini. Katika Ukurasa Wa Mbele Wame Weka Picha Ya Marehemu Huyo, Picha Ya Wanandugu, Na Picha Ya Kaburi! Lakini Katika Picha Ya Marehemu Alo Kutwa Wodini Wameweka ILe Picha Ya Marehemu Mvungi Akiwa Hospitali! Wamenisikitisha Sana Na Wameandika Eti Yahya Akiendelea Na Matibabu! Nenda Na Tazama Magazeti Uone Unyama Huu!
 
Tanzania ni ajabu la 8 dunian, tatizo la wahariri wa global publisher ni walevi sana wanakta vitu hongera bar waingia kuhariri habar.
 
Imeskitisha sana, unless walikuwa wanafanana.
image.jpg
 
Mijitu Mingine bana! Unakuta Dume zima linanunua GAZETI LA udaku (Uongo) halafu linategemea kupata Habar za kweli kwenye Gazeti la uongo!!
 
Imeskitisha sana, unless walikuwa wanafanana.
si kweli huyo ni yahaya na mimi nilikuwepo , ni mtu wa karibu yetu na bahati nzuri nilivyofika dar nikakutana na sakata hilo na picha hizo ni sahihi kabisa , na mpaka sasa wana ndugu hawakupenda mpendwa wao aonyeshwe katika gazeti , kwa tamaa ya mke ambaye inasadikika hawa waandishi walimpa kiasi cha tshs 50,000 na kutoa story hiyo , hata hivyo habari yenyewe wameipotosha kidogo eti marehemu alikaa katika jokofu kwa siku 5 si kweli . hawa naweza kuwaita ni waandishi uchwara wako kwa ajili ya kuuza na kutisha watu
 
kwani gazeti lisishitakiwe na wanandugu kwa kumdhalilisha na kutoa habari kinyume, ikiwa hawajagewa ruhusa...?
 
Tatizo ni sisi watz wenyewe. Magazeti ya udaku si magazeti ya kusoma jamani, mtaibiwa kila siku
 
si kweli huyo ni yahaya na mimi nilikuwepo , ni mtu wa karibu yetu na bahati nzuri nilivyofika dar nikakutana na sakata hilo na picha hizo ni sahihi kabisa , na mpaka sasa wana ndugu hawakupenda mpendwa wao aonyeshwe katika gazeti , kwa tamaa ya mke ambaye inasadikika hawa waandishi walimpa kiasi cha tshs 50,000 na kutoa story hiyo , hata hivyo habari yenyewe wameipotosha kidogo eti marehemu alikaa katika jokofu kwa siku 5 si kweli . hawa naweza kuwaita ni waandishi uchwara wako kwa ajili ya kuuza na kutisha watu

Mkuu Twaisemea Ile Picha Ya Hospitali, Nyingine Hatujui Kama Ni Sahihi Ama Vp, Ningeweza Ninge Kuwekea Picha Ya Dr Mvungi Uone
 
sio mvungi yule bana
ni mtu tofauti na mvungi na ndio huyooo
yahaya!!ungetazama kwa makini uwe na uhakika na
unachoandika!!
 
Kama umefuatilia hata habari zao nyingi na picha wanazipatia humuhumu jf tena ukizikuta hazivuti kwani unakuwa tayari umezisoma au wewe ndio chanzo
 
Back
Top Bottom