mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Gazeti La Uwazi La Leo Limeandika Habari Ya Marehemu Alozikwa Na Baadae Kukutwa Wodini. Katika Ukurasa Wa Mbele Wame Weka Picha Ya Marehemu Huyo, Picha Ya Wanandugu, Na Picha Ya Kaburi! Lakini Katika Picha Ya Marehemu Alo Kutwa Wodini Wameweka ILe Picha Ya Marehemu Mvungi Akiwa Hospitali! Wamenisikitisha Sana Na Wameandika Eti Yahya Akiendelea Na Matibabu! Nenda Na Tazama Magazeti Uone Unyama Huu!