Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
2. Wawepo watu wa kumshauri kuanza kusema kuwa akishindwa yuko tayari kukubali matokeo na pia washauri wamsaidie kuandika hotuba ya kukubali kushindwa na kuwashukuru watanzania waliosimama nae.
JK tunamuhitaji atoe tamko tu la kuwa hata yeye ataheshimu matokeo huo utakuwa ndio urithi atakao tuachia watanzania. Hana la ziada hapo.