Elections 2010 Gazeti la Uhuru: Tunahitaji Uongozi Mpya ( Kura yake ya Maoni)

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Gazeti la uhuru linaongoza maoni yake
Katika maswali wanayouliza ni kama ifuatavyo?

Toa Maoni Yako
Hali ya Kisiasa Tanzania:
1. Inaridhisha
2. Ni Ubabaishaji
3. Hairidhishi kabisa
4. Inahitaji Kuboreshwa
5. Inahitaji uongozi Mpya
6.Katiba Irekebishwe

Walioongoza ni wale waliosema Inahitaji uongozi Mpya - Ni 29%
waliofuata walisema Ni Ubabaishaji asilimia 26.9
Wanaotaka katiba irekebishwe ni 15.5%
Walisema inaridhisha ni asilimia 12%
Hii sio synovate ni gazeti la chama cha mapinduzi UHURU.
Naomba maoni yaliyoko kwenye gazati la chama yaheshimiwe na watanzania. Wana CCM naomba myaheshimu maoni ya wanachama wenu.
UNAWEZA KUJIONEA MWENYE
Hali ya Kisiasa Tanzania

KUTOKANA NA HAYO HAPO JUU
Mimi sasa nimekubali kuwa kama viongozi walioko madarakani hawawezi kusoma hata sauti ya watu iliyoko katika vyombo vyao basi sikio la kufa halisikiii dawa.
1. Najaribu kuwaza kuwa lazima Raisi wetu mpendwa naye kwa kuwa ana busara na ni mwuungwana basi ameanza kujiandaa kuachia madaraka kwa amani.
2. Wawepo watu wa kumshauri kuanza kusema kuwa akishindwa yuko tayari kukubali matokeo na pia washauri wamsaidie kuandika hotuba ya kukubali kushindwa na kuwashukuru watanzania waliosimama nae.
3. Dr. Slaa katika hotuba zake apunguze kauli zinazoweza kumtia hofu Rais wetu na hata marais wastaafu. Asiendelee kuzungumza habari za kuwapeleka mahakamani. Akubali tu kuwa kule kuhukumiwa na wananchi kunatosha kuwa fundisho.
4. Namshauri Dr. Slaa asiwapeleke mahakamani hata Mkapa. Ila watumie tu utaratibu wa kuwaonyesha mahali matatizo yalipokuwa. Bado wanaweza kuwa na mchango wao katika taifa.
5. Dr. Slaa bado atawahitaji mahali fulani hawa viongozi waliopita hivi ASIJENGE UKUTA AJENGE MADARAJA.
 
nakubaliana na wewe DR SLAA asitumie vitisho vya kuwapeleka mahakamani kwani hili litasababisha wasitoke madarakani.
 
naunga mkono hoja! Nikweli Tunawaheshimu saana Maraisi wetu waliopita walifanya vyema ni matatizo madogo tuu.
Please MR president JK kubali matakwa ya wananchi wako waliyoyatoa kwenye gazeti la UHURU utakuwa na sifa nyingi na kila mtu atakuona muugwana, hayo ni matakwa ya wanachama wako wa ccm, kumbuka upinzani wengi hawasomi magazeti ya chama, Ninawaomba sana akina makamba wakitaka nchi iwe na sifa kubwa duniani wakubali matakwa ya wananchi, hatutaki tufike kama nchi za jirani zetu.
Uungwana nikitendo!
naipenda ccm naipenda Tanzania nawapenda waungwana.
 
uhuru gazeti kwonge la chama, duh mharirii ajiandae kutafuta kazi mahali pengine amegonga nyundo ikulu
 
UHURU NA MZALENDO

poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Inahitaji uongozi Mpya 81 32%
Ni Ubabaishaji 66 26.1%
Katiba Irekebishwe 38 15%
Inaridhisha 30 11.9%
Inahitaji Kuboreshwa 24 9.5%
Hairidhishi kabisa 14 5.5%

Number of Voters : 253 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Tuesday, 05 October 2010 13:37
 
Hongera sana. Huu ni mwendelezo wa wale wenzanu wa jana walio sema WAPO ni ya dini . Lakini hii ni ya CCM, Hapo vipi??? Wataifunga muda si mrefu maana inawavua nguo angalia the most leading two JK anafurahia?
 
naunga mkono hoja! Nikweli Tunawaheshimu saana Maraisi wetu waliopita walifanya vyema ni matatizo madogo tuu.
Please MR president JK kubali matakwa ya wananchi wako waliyoyatoa kwenye gazeti la UHURU utakuwa na sifa nyingi na kila mtu atakuona muugwana, hayo ni matakwa ya wanachama wako wa ccm, kumbuka upinzani wengi hawasomi magazeti ya chama, Ninawaomba sana akina makamba wakitaka nchi iwe na sifa kubwa duniani wakubali matakwa ya wananchi, hatutaki tufike kama nchi za jirani zetu.
Uungwana nikitendo!
naipenda ccm naipenda Tanzania nawapenda waungwana.


Umepotea Mbona MAHALU MLIMPELEKA MAHAKAMANI HAMKUJUA KAMA NAYE NI DIPLOMATIC ana hadhi yake ya ubalozi.Sheria msumeno.Dr.SLAA kanyaga twende hakuna kulala.
  • EPA 133bil
  • MEREMETA 155 bil
  • Mpango hewa wa kurekebisha anguko la uchumi 1.7tril
  • Na mengine mengi
Hatuwezi kuvumilia wakati wazazi wetu wanakwenda na vifaa vyao kujifungua na bado wanalazwa chini. INAUMA SANA THEY MUST FACE CRIMINAL CHARGES
 
Tujenge kwanza madaraja kuwaondolea hofu ya kutokutaka kuondoka madarakani. Hilo la makosa ya wizi linaweza kuangaliwa baadae. Kwa sasa tumsaidie jk kuondoka bila hofu. Amkumbuke kaunda alikubali.
 
Nipo hewani ktk hili,
Ni uhuru kweli wameandaa hizo polls na kuziendesha?
au tunapigwa changa la macho?

Haya wakuu tutumie hizo takwimu kuunasua umma wa tanzania kutoka kwa ukoloni mkongwe wa ccm
 
Tujenge kwanza madaraja kuwaondolea hofu ya kutokutaka kuondoka madarakani. Hilo la makosa ya wizi linaweza kuangaliwa baadae. Kwa sasa tumsaidie jk kuondoka bila hofu. Amkumbuke kaunda alikubali.

Dr.Slaa KILA WAKATI ANATUMIA WOTE KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WALIOJIHUSISHA NA KUFISADISHA RESOURCES ZA NCHI watakumbwa na mkondo wa sheria.Kina mkapa n Kikwete wana kinga kikatiba.Kwa sasa tunajua hawatashitakiwa.Hatujui baada ya kuandika katiba mpya itasema nini kuhusu rais Mstaafu, lakini wengine they are in for it.
Tunajua mkapa na kikwete wapo kwenye list of shame, lakini bado wana kinga ila ni vema SLAA akaweka wazi uadilifu wa hawa ma-RAIS ili wapiga kura waweze kufanya informed decisions katika kuihukumu CCM
 
Du!! nimesoma mara mbili mbili sentensi za mwisho, kweli hadi namuonea huruma JK, kwa jinsi anavyopenda uraisi halafu watu ndo hawamkubali pamoja na nguvu zote anazotumia!!

By the way hakuna huruma when it comes to peoples life, aachie ngazi kwa heshima ataheshimiwa, akijifanya kichwa ngumu basi ajue atakuja kukiona cha moto!! Sidhani kama Dr. atamuacha hivihivi, amesamehewa sanaaaa mvua 30 kwa matumizi mabaya ya ofisi na kujinufaisha yeye, rafiki zake na familia yake. Dr. hana masihara kwenye ishu hizo
 
nipo hewani ktk hili,
ni uhuru kweli wameandaa hizo polls na kuziendesha?
Au tunapigwa changa la macho?

Haya wakuu tutumie hizo takwimu kuunasua umma wa tanzania kutoka kwa ukoloni mkongwe wa ccm
hilo ni uhuru bwana utake usitake ukweli ndo huo
 
Washiriki ni wachache, matokeo hayawezi kuelezea hali yeyote. Kumbuka wapiga kura ni wengi san!!
 
NADHANI HUU NDIO UCHAGUZI WA KUSHANGAZA KULIKO ZOTE AMBAZO ZIMEWAHI KUWEPO.
KWANI INAPOTOKOE KUDHANIA RAISI KAMPIKU MPINZANI ANGALAO ENEO MOJA, TENA RAISI ALIYEKO MADARAKANI ANAYETUMIA MABANGO MAKUBWA NA HELKOPTA TATU NA MAGARI YA KILA NAMNA YA CHAMA NA SERIKALI KUDHANIWA KUMZIDI MPINZANI INAKUWA NEWS KUBWA KWA GAZETI LA CHAMA.
(KUMBUKA NI KUDHANIWA NA SIO LAZIMA IWE HIVYO)
CHA AJABU NI KUWA HICHO KICHWA CHA HABARI KIKO KAMA KIMEWEKWA KUVUTIA USOMAJI KWANI KWENYE HABARI YOTE HAIONYESHI AMEMZIDIJE MUSOMA.
MAGAZETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YAMEANZA KUTOA MCHANGO WA WAZI KUONYESHA SLAA NI ZAIDI KILA MAHALI ISIPOKUWA MUSOMA?
JIONEE MWENYEWE. NAWASAIDIA KUANZA KUSOMA GAZETI LA UHURU ANGALAO KUONA KILICHOKO.
CLICK HAPA

Kikwete zaidi ya Dk. Slaa Musoma
 
magazeti hayanunuliwi wafanyeje sasa, Inabidi waweke vichwa vinavyovutia mkuu.
 
Hii ni kura ya maoni inayoongozwa na UHURU NA MZALENDO CLICK HAPA CHINI
KURA ZINAZIDI KUPANDA KUSEMA TUNAHITAJI UONGOZI MPYA
PIA UONGOZI NI WA UBABAISHAJI NA SERIKALI HAIRIDHISHI KABISA. HAYA NI MAONI YANAYOTOLEWA NA UHURU

CLICK HAPA

Hali ya Kisiasa Tanzania
 
Malaria Suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kirangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Kibuuuuuuuuuuuu.............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mtu wa Pwaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Maggidddddddddddd.......................,

Kadogoooooooooooooooooooo..............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!




Where are these guys?????????????????????????????????
 
Inahitaji uongozi Mpya 106 37.5%
Ni Ubabaishaji 67 23.7%
Katiba Irekebishwe 39 13.8%
Inaridhisha 31 11%
Inahitaji Kuboreshwa 26 9.2%
Hairidhishi kabisa 14 4.9%

Number of Voters : 283 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Tuesday, 05 October 2010 15:37
 
Inahitaji uongozi Mpya 106 37.5%
Ni Ubabaishaji 67 23.7%
Katiba Irekebishwe 39 13.8%
Inaridhisha 31 11%
Inahitaji Kuboreshwa 26 9.2%
Hairidhishi kabisa 14 4.9%

Number of Voters : 283 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Tuesday, 05 October 2010 15:37





Kama ni hivyo hata kwenye gazeti la uhuru mkwere byebye!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom