Gazeti la Uhuru,Redio Uhuru na TBC vinaiua CCM na serikali ya Kiwete bila kujijua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Uhuru,Redio Uhuru na TBC vinaiua CCM na serikali ya Kiwete bila kujijua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 12, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,210
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280
Vyombo hivi ambavyo wapumbavu wanaamini vinawajenga kisiasa mbele za werevu ni kinyume!

Habari zao ni tofauti na kile wtz wanachokiona au kuwatokea kila uchao!

Vyombo hivi vilipaza sauti kuwa:

Jakaya Kikwete ni mtu sasa kwa tz kumbe ni bomu lisilotegulika!!

Vikasema maisha bora kwa kilani mtz,kinyume chake kila mtu anaona!!

Umeme utakuwa histori, lakini hata kusema naona aibu!!

Ccm si chama cha mafisadi, kauli yao imewashinda wakaanza kuvuana machupi!!

Wanakuja na kauli nyingine ya kipuuzi juu ya 50yrs ya uhuru!

Chondechonde ccm ulevi wa mdaraka ni nooumaaaa!!!

Hali hii watz wameing'amua sasa hawavifuatilii kabisa na chuki dhidi ya ccm ipo nyuzi za sentgred 99.9!

2. Limbani

Limbani JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Apr 24, 2008
Messages: 1,438
Likes Received: 91
Trophy Points: 145
Ni wanafiki tu hao wapo kazini!!

3. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Much like JF's tendentiousness to pro-CHADEMA posts while discarding anything in favour of CCM.

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,210
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280

Huu ni mtazamo wangu kama mtz nilielaghaiwa na ccm si kama mwana cdm!!

5. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#5
Aug 12, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Wanafikiri wanaitangaza ccm kumbe wanaipunguzia umarufu, hakuna kosa baya kama ubaguzi ,upopompo,woga eti chadema ikisemwa kwa mazuri itapata wafuasi wengi na kadri wasivyoipa airtime cdm yenyewe inasonga tu!

6. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#6
Aug 12, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,210
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280

Tupo pamoja kiongozi ccm wenyewe ndio wanao iimarisha cdm!!

7. lutamyo

lutamyo JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 633
Likes Received: 37
Trophy Points: 45
Nadhani kama wewe ulivyo na uhuru wa mawazo ndivyo kila mtu alivyo. Hivyo basi tambua kuwa siyo kila mtu anaaipenda chadema au kuichukia CCM bali ni kuchoshwa na unafiki wa wana CCM, wanakaa kwenye vikao vyao wanajifanya wako nje ili hali wao ndio wanaoendesha nchi. Kimsingi Tanzania bila CCM inawezekana tena tuatasonga mbele. Kwa upande wangu sipendi wanafiki

8. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Juzi ktk kipindi cha usiku wa habari TBC1 mtangazaji alijivika jukumu la kuwasihi waTZ wawe watulivu wakati serikali ikishughulikia suala la uhaba wa mafuta hasa kwa jiji la Dar! Alitumia muda mwingi sana kujaribu kupindisha ukweli wa udhaifu wa serikali juu ya jeuri ya wafanyabiashara. Ilifika hatua hata maoni ya wananchi waliohojiwa walikuwa hawaonyeshi vilivyo. Kwa maoni yangu na kwa jinsi hali ilivyo kauli kama ile ya kuwataka waTz watulie walau (kiduchu) ingekuwa na tija kama ingetolewa na Kova au Mkuu wa mkoa. Badala yake TBC wamejitwisha zigo la kusemea viongozi ambao hawana mpango wa kujitokeza na kuzungumza na watu wao. Japo najua ni moja ya majukumu yao kuwa upande wa serikali, lakini nathubutu kusema TBC wameachwa kwenye mataa hasa kwa viongozi kutojitokeza na kuzungumzia sintofahamu zinazojitokeza kila uchao. Binafsi naamini ngoma inayopigwa na TBC ingekuwa na mvuto kidogo kama watawala wangeamua kujitokeza kuimba sambamba na midundo ya TBC. Badala yake watawala hawaonekani kujali na TBC inaendelea kupiga ngoma isiyo na waimbaji mpaka pale siku ngoma itakapopasuka.

9. K

Kanefuka Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Aug 6, 2011
Messages: 12
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Cjapenda sana jinsi hoja yako ulivyo ielezea inaonesha hufaamu kazi ya vyombo vya habari..tatizo hapo ni vyama na watu wake na co hizo taasis ulizotaja.plz tupe kitu chenye mantiki na co kuleta hoja zenye dalili ya chuki fulani rohoni na akilini mwako

10. Ndallo

Ndallo JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 7,129
Likes Received: 1,083
Trophy Points: 280
Unakuta kuna tukio linalohusu jamii ambalo wapinzani wameliongelea bungeni na ni taarifa ya muhimu sana wananchi tuione kwenye TV lakini TBC 1 wao kwenye taarifa kama hiyo badala ya kuionyesha wao wanaweka taarifa ikimuonyesha JK anazika au anawafuturisha maaskofu! Ufisadi mpaka ndai ya tasnia ya habari hii ndio CCM!

11. Said Bagaile

Said Bagaile JF-Expert Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Jun 23, 2011
Messages: 686
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Je nao hawa wanafikiri kwa kutumia nini?

12. Katavi

Katavi Platinum Member

#12
Aug 12, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,469
Likes Received: 4,128
Trophy Points: 280
Wanafikiri kwa kutumia "masaburi"

13. mopaozi

mopaozi JF-Expert Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Nov 17, 2010
Messages: 3,290
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Hv ni wapi uliona tv ya serikali inainyamba serikali ikitokea hvy basi hy c ya serikali mmejionea libya tv inavyomkumbatia ghadaffi so mi naona powa tu kwakuwa hulazimishwi kuangalia tv ni vyema ukaipotezea ukaangalia itv maana hata jana walionyesha mkutano wa cdm na tv zingine zote zilikuwa zinaonyesha jk akifuturu namibia jamaa kwa kupenda ujiko bwana eti kaenda namibia kufuturu!!!

14. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#14
Aug 13, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180

Kama unataka kila hoja uipende humu na hapa duniani, utakufa siku si zako kwa chuki zilizokuganda rohoni na akilini mpaka masaburini mkuu!

15. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#15
Aug 13, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,210
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280

Afadhari umemwambia

16. Dingswayo

Dingswayo JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: May 26, 2009
Messages: 4,011
Likes Received: 85
Trophy Points: 145
Please be informed that Jf does not represent any one as opposed to the said newspapers and tv which are categorically mouthpieces of ccm. Views, comments and opinions posted here are personal, and should not be regarded as official statements.

Sent from my ZTE-BLADE using Tapatalk

17. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#17
Aug 14, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,210
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280

Afadhari umemjibu!

18. n

nchasi JF-Expert Member

#18
Aug 14, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 525
Likes Received: 67
Trophy Points: 45
Wautangaza upopompo wa magamba. Tusiwalaumu sana maana wanafuata matakwa ya mwajiri wao, nina imani hata wao hawapendi basi wafanyeje hawana jinsi.

19. Sabung'ori

Sabung'ori JF-Expert Member

#19
Aug 14, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 2,087
Likes Received: 150
Trophy Points: 160

20. Sabung'ori

Sabung'ori JF-Expert Member

#20
Aug 14, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 2,087
Likes Received: 150
Trophy Points: 160
...wafakilia kwa kutumia ile maneno ya Dr Msabuli

Loading...