Gazeti la uhuru na habari ya wizi wa billion 200 BOT

Nimepitia magazeti karibia yote leo yameandika ile habari ya wizi wa bilioni 200 BOT.
Gazeti la uhuru halijaandika hii habari.

je? wamiliki wa hili gazeti wanahusika na huu wizi?

Kwa hiyo ina maana gani sasa cjakupata.
 
Tangia nijiunge jf nathubutu kusema kuwa hii ni moja ya post iliyo wazi na inayoeleweka hata kwa mtoto wa miaka miwili.
Swali moja na la kiungwana lakini linalojijibu lenyewe.

Kwa hiyo ina maana gani sasa cjakupata.
Hujampata nini acha unafiki?Kasema magazeti karibia yote yameandika hbr za wizi BOT Uhuru mbona hawajaandika?Unajifanya mgumu wa kueleewa kwenda huko?
 
Nimepitia magazeti karibia yote leo yameandika ile habari ya wizi wa bilioni 200 BOT.
Gazeti la uhuru halijaandika hii habari.

je? wamiliki wa hili gazeti wanahusika na huu wizi?

gazeti lenyewe ni la wizi....
 
Hujampata nini acha unafiki?Kasema magazeti karibia yote yameandika hbr za wizi BOT Uhuru mbona hawajaandika?Unajifanya mgumu wa kueleewa kwenda huko?

hata huyo unlock ni mwizi..
 
Nimepitia magazeti karibia yote leo yameandika ile habari ya wizi wa bilioni 200 BOT.
Gazeti la uhuru halijaandika hii habari.

je? wamiliki wa hili gazeti wanahusika na huu wizi?

100% pesa imechukuliwa na ccm!!!ndiyo maana mzee wa Heineken aLisema pesa ya ugoro
 
Wizi BOT ni mradi wa CCM,
Uhuru ni gazeti la CCM,
Therefore wizi BOT ni furaha kwa gazeti la UHURU!
 
Back
Top Bottom