Gazeti la Uhuru mtandaoni

Invisible

JF Admin
Feb 26, 2006
16,286
8,368
Hivi hawa jamaa wa Uhuru/Mzalendo walibadilisha website lini?

Katika hangaika yangu nimejaribu kutembelea URL ambayo nilikuwa nikiipitia zamani nikakumbana na dhahma.

Si kuwa website yao ni http://www.uhuru.info ?

If so; wameshindwa kazi?

Uhuru.info favorites: 50 Cent | Shakira | Reggae Music | Mp3 Players | Free Music | Free Music Download
 
Hao wameingia mitini siku nyingi sana. Watawezaje kazi wakati kigezo cha kuajiri ni ukada?

Oh, basi mimi nikadhani labda ni system yangu ndiyo inani-redirect kwenda nilikodondokea.

Namiss the way walivyokuwa wakiweka picha kwenye front page zikiwa na madongo ya moja kwa moja. Oh, ilikuwa burudani ya aina yake.
 
hiyo ya chama inakuwa shida, ndio gazeti ambalo kila siku unatakiwa liwe hewani, mambo magumu sana haya sio maskara
 
Asalamu alaykum

Habari za siku kupoteana nimekuwa kimya muda mrefu couse ya shughuli nyingi but I hope nyote mpo wazima kabisa na wenye afya kamili ambapo mimi napenda muwe hivyo inshaallah.

Suala la gazeti la uhuru limekuwa likinisumbua hata mimi muda mrefu naona limetoweka ila nadhani wamesitisha kidogo kuliweka mtandaoni maana nayo sio kazi ndogo may be watu wa IT wamepata dharurua kidogo au baada ya muda watakuwa hewani maana hata Mwananchi wakati mwengine mtandao wake huchezewa na watu fulani fulani hivi na matokeo yake huwa hakuna kinachopatikana ingawa kunakuwepo taarifa kwamba mtandao una matatizo.

mtandao wa mzalendo.net hauna uhusiano na gazeti la uhuru na mzalendo huo ni mtandao wa mtu binafsi na sio wa kampuni ya gazeti.

any way nakutakieni siku njema wacha nijiburudishe hapa forodhani katika upepo mwanana wa bahari ya hindi na foro mpya tuliotengenezewa na Agha khan.

stonetowner
 
Kataika burudani yako ya hapo Forodhani usisahau kuvaa seruni au kikoi.siku njema
 
Hivi hawa jamaa wa Uhuru/Mzalendo walibadilisha website lini?

Katika hangaika yangu nimejaribu kutembelea URL ambayo nilikuwa nikiipitia zamani nikakumbana na dhahma.

Si kuwa website yao ni Uhuru.info ?

If so; wameshindwa kazi?
hilo gazeti ni la kila siku lakini halijiendeshi linaendeshwa tu ,maana mauzo yake hayalipi huwezi linganisha na akina mwananchi,tanzania daima,daily na gurdian,yaani pesa ya mauzo haiwezi hata kulipa uchapishaji,kwa hiyo usishangae sana na wenye hilo gazeti wanajua kula tu maendeleo hawaju ukitaka kuamini tembelea website ya ccm utaiona ilivyo na update zake alafu ulinganishe na status yake ya kupokea mabilioni ya ruzuku kwa mwana na mamilioni ya wanachama
 
hili gazeti linastahili tunzo kwa kupotosha umma aisee, yaani yale mafuriko ya jana wanadai eti vibaka na wamepora maduka? kweli ndugu zangu uhuru?
 
Back
Top Bottom