Gazeti la uhuru ( CCM): Mahakama ya mafisadi yakosa kesi za kusikiliza

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Habari wakuu!

Gazeti la Uhuru la Leo linaripoti kuwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi za kusikiliza

Swali langu ni kwamba, je, mafisadi ndani ya CCM au nchini wameisha hadi mahakama hii iliyoanzishwa kwa mbwembwe ikose kesi za kusikiliza?

Naihurumia nchi yanguTanzania

Chanzo: Gazeti la uhuru
 
Huenda ni mafisadi waliopo ndani ya chama (CCM), nje ya chama hawawezi kosekana maana wengine tunawajua kabisa, mfano Fisadi mkuu Lowasa

Sikh zote chama la mafisadi linajulikana! rejea escrow na lugumi. hivyo kusema umekosa fisadi ndani ya ccm ni kituko cha karne.

Rais msataafu na mwenyekiti msitaafu enzi za uongozi wake aliwahi kusema, ccm imejaa mafisi alikuwa na maana kubwa sana. poor you lumumba
 
Ukianzisha kitu au project kwa kumfurahisha mtu au kwa nia ya mpenzi wako akuone hutofanikiwa kamwe.

Tulipiga kelele kuwa mahakama hii haitafanikiwa kwa vile ilianzishwa kisiasa.

ni kweli kabisa maana mafisadi wamejazana ndani ya chama chenyewe, kuanzia kundi LA vijana hadi ngazi za juu, sasa utampeleka nani na umuache nani
 
wewe Kiwavii..
Malaika wenu aliwapumbaza na hii mahakama yakufikirika..
Mwambienii amkamate huyo mnae muita Fisadi ndio muone kama Atapona Ngombe ata mmja hapo Lumumbashii..
Mbona unanitolea povu sana, nafikiri hujaielewa comment yangu, isome tena
 
Sikh zote chama la mafisadi linajulikana! rejea escrow na lugumi. hivyo kusema umekosa fisadi ndani ya ccm ni kituko cha karne.

Rais msataafu na mwenyekiti msitaafu enzi za uongozi wake aliwahi kusema, ccm imejaa mafisi alikuwa na maana kubwa sana. poor you lumumba
Walidhani fisadi ni Lowassa wamekuja kugundua CCM yote imeoza kila wakigusa wanakuta wastaafu alioahidi kuwalinda wamo,

na akichimba zaidi atajikuta hata yeye yumo ref. nyumba za serikali na mv bagamoyo.
 
habari wakuu!

Gazeti LA Uhuru LA Leo linaripoti kuwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi za kusikiliza

swali langu ni kwamba, je, mafisadi ndani ya ccm au nchini wameisha hadi mahakama hii iliyoanzishwa kwa mbwembwe ikose kesi za kusikiliza?
Naihurumia nchi yanguTanzania

chanzo: gazeti LA uhuru
The philosophy behind that post ni kuwa serikali ya awamu ya tano imedhibiti ufisadi ( gazeti linamsifu kwa kufanya kazi nzuri na sasa hakumna mafisadi) mpaka mahakama imekosa kesi. Sidhani kama ameandika akimaanisha kuwa it was a wastage of time and money kuanzisha mahakama hiyo, never!
 
hv gazeti la uhuru huwa linajidhiofisha lenyewe maana huandika habar ambazo ni za upambe tu karne hii mnatabaki kulia lia ooh hatuendelei ooh tumefilisika andika kitu watu wakisoma wapende sasa nyie upendeleo na uongo uongo
 
Ile ilikuwa gear ya kupigia campaign. What suprised many ilikuwa ni kile kitendo cha kuendelea na process hadi kuifungua kabisa. Ukianzisha hayo mambo ni sawa ba kufungua pandora box. Issues kibao lazima zimulikwe pia - MV Bagamoyo etc.
 
Back
Top Bottom