Gazeti la uhuru ( CCM): Mahakama ya mafisadi yakosa kesi za kusikiliza

Sikh zote chama la mafisadi linajulikana! rejea escrow na lugumi. hivyo kusema umekosa fisadi ndani ya ccm ni kituko cha karne.

Rais msataafu na mwenyekiti msitaafu enzi za uongozi wake aliwahi kusema, ccm imejaa mafisi alikuwa na maana kubwa sana. poor you lumumba
Si kila siku watumishi wa serikali wanatumbuliwa kwa ufisadi? Kwanini basi hiyo mahaka ikose watuhumiwa? Hiyo mahakama ilikuwa danganya toto kwa wananchi mandondocha.
 
The philosophy behind that post ni kuwa serikali ya awamu ya tano imedhibiti ufisadi ( gazeti linamsifu kwa kufanya kazi nzuri na sasa hakumna mafisadi) mpaka mahakama imekosa kesi. Sidhani kama ameandika akimaanisha kuwa it was a wastage of time and money kuanzisha mahakama hiyo, never!
are you sure na unachokiongea? umeitoa wapi/umemnukuu nani hiyo scope of work ya mahakama kwamba haitashughulika na ufisadi uliofanyika kabla ya kuanzishwa mahakama? huu mchezo hautaki hasira
 
wewe Kiwavii..
Malaika wenu aliwapumbaza na hii mahakama yakufikirika..
Mwambienii amkamate huyo mnae muita Fisadi ndio muone kama Atapona Ngombe ata mmja hapo Lumumbashii..
Yeye mwenyewe malaika wa shetani hawezi kupona hapo.Ndio maana hamgusi E .L.yaweza kaburi lake mwenye lifukuliwe.
 
The philosophy behind that post ni kuwa serikali ya awamu ya tano imedhibiti ufisadi ( gazeti linamsifu kwa kufanya kazi nzuri na sasa hakumna mafisadi) mpaka mahakama imekosa kesi. Sidhani kama ameandika akimaanisha kuwa it was a wastage of time and money kuanzisha mahakama hiyo, never!

teh teh teh mafisadi wameisha ccm? wakati wanafisadi hadi faru
 
nilivyosikia hii habari redioni asubuhi leo, nimefreeze ghafla, masifa yoote yale ooh inajengwa na pesa zimetolewa leo wanasema hakuna kesi, daah hii kweli tanzania
 
Huenda ni mafisadi waliopo ndani ya chama (CCM), nje ya chama hawawezi kosekana maana wengine tunawajua kabisa, mfano Fisadi mkuu Lowasa
Kwani hiyo mahakama inashughulikia mafisadi walio ndani ya CCM peke yake? Kama Lowasa ni fisadi kwanini asipelekwe huko Pamoja na mafisadi wengine walio nje ya chama chetu tawala?
 
Ianze na mafisadi na ufisadi wa
Chenge
mv Dar es salam
meli ya wachina
lugumi
escrow
Tanesco
Simba Trust
 
Kwa upande mwingine hii ni dalili nzuri, watu wamenyooka wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uongozi bora.
-Wananchi tunafurahi kusikia hakuna mafisadi mali zetu haziibiwi tena.
 
Huenda ni mafisadi waliopo ndani ya chama (CCM), nje ya chama hawawezi kosekana maana wengine tunawajua kabisa, mfano Fisadi mkuu Lowasa
Naikumbuka ile kauli ya hayati masaburi( rest in peace) ,,,,,Lugumi,escrow,meremeta,epa hayo yote ni Lowasa???? Au unajskia tu kumtajataja mwanaume mwenzio??
 
Back
Top Bottom