Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.

Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).

Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:

“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.

He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
 

Tanzania’s president expresses doubts about COVID vaccines​


“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.

He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines. Magufuli, who offered no evidence to support his doubts, has been widely criticized for declaring the coronavirus defeated in Tanzania. The country hasn’t updated its number of confirmed infections since the middle of last year: 509.

But now other authorities in the country, including the Catholic church, appear to be pushing back as parts of the African continent see a strong second surge in virus infections.

Magufuli also suggested that donated vaccines are part of a conspiracy to steal Africa’s wealth: “Don’t think you are loved so much. Tanzania is rich. Africa is rich. Everyone wants a piece of it.”

The president in the past has told Tanzanians not to implement social distancing while encouraging them to use untested herbal remedies to treat the disease. He also questioned the credibility of donated virus tests.

Some people who opposed the government’s stance that Tanzania was coronavirus-free were arrested and charged.
Magufuli won a second five-year term in office in an October election which opposition leaders blasted as a “butchering of democracy.”
 
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu....
Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
 
If there is any doubt I'd rather give its benefit to Magufuli, never trust a white man. Sasa wewe unajitia mjanja unashangaa chanjo ya kabsa, unashangaa nini, si ni ugonjwa tu? Tulipima kware Eliza tukakutavyuko positive, vifaa vyote vilikuja kama msaada. Wanataka makanikia yetu jupitia kwa wasaliti.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom