Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
mala paap, haupo... au hata mimi...kisa? mapafu yalibana ghafla...
 
Wanajadili pumba zake....kwa Dunia ya Sasa Rais kutoa kauli kama Mzee wa kijiweni Nia ajabu. Hayuko informed na updated kabisa.

Ilifaa aongoze miaka ya sitini..

Kama ni Pumba wanajadili za kazi gani?
Hawana kazi nyingine za kufanya?

Muda ni jawabu tosha, wacha tusubiri.
 
Na waelewe kabisa, ni mwanya na fursa kwao kutupunguza waafrika duniani huku wakipiga hela ya kufa mtu, tumewastukia..
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Ili ujitambulishe kwa mzungu na upokewe vizuri lazima nchi yako iwe ina ramba matakle yao, sasa tz kwa sasa kiongozi wetu kakata kuwaramba.

Sasa ukitaka jitambulishe kuwa mkenya
 
DETRIMENTAL? Devastating? Disastrous? Careless? Bullying? Narcissistic? Sadistic? Which word exactly fits the description of the character and statements of Tanzania’s President John Magufuli in his handling of the COVID-19 pandemic?
No one really knows what has befallen President Magufuli, a PhD holder in Chemistry and a former science teacher, who does not seem to believe in science any more when it comes to protecting his people against the adverse effects of the Coronavirus infections
 
Back
Top Bottom