Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

Jamani Watanzania tuache ujuha! Economist watasema nini zuri kwa Magufuli wakati Acacia ndio wanafungasha? Watu mnakazana kukariri propaganda za Waingereza wakati wao wenyewe wanajadili madili ya gesi Hyatt! Pascal Mayalla unaitwa huku.

Wazungu wanamuona JPM ni kikwazo kwa mipango yao ya kipumbavu. Hivyo watasema mengi ili kumchafua. Tutamkumbuka JPM wakati akitoka madarakani, sasa Watanzania waliojazwa fikra za wazungu waache washabikie maneno wa mabwana zao
 
Hata kama wanamchafua, waliyosema ni kweli ameshachafuka mwenyewe.
Hakuna hata moja lililosemwa la uongo.
 
Back
Top Bottom