Gazeti la The East African na propaganda chafu dhidi ya Tanzania

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,931
34,410
Baada ya Tanzania kuishinda Kenya katika mradi wa bomba la mafuta ya Uganda gazeti la "The East African" ambalo lilikuwa kinara wa propaganda dhidi ya maslahi ya Tanzania katika mradi limeibuka na sakata la mgogoro wa ziwa nyasa kama habari kuu ????.

Ni ajabu gazeti lililojipachika jina la Afrika mashariki limekuwa likiegemea na kutetea maslahi ya Kenya dhidi ya mataifa mengine ya Afrika mashariki.Gazeti hili lilikuwa kinara wa kutangaza habari za CoW kila mara na kusifia miradi mingi iliyokusudiwa kuanzishwa chini ya ushirika wa nchi tatu Kenya,Uganda na Rwanda ikiwemo visa ya pamoja,free movement of labour na mradi wa LAPPSET na nk.

Miradi yote hii ilikuwa na lengo la kuiadabisha Tanzania baada ya kukataa kuingiza ardhi katika mkataba wa EAC. Bahati nzuri Uganda na Rwanda zimezinduka usingizini na kuamua kuhamisha baadhi ya miradi Tanzania kama ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda na Rwanda kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa reli SGR ambayo utazidisha matumizi ya Bandari ya Dar na kuiweka kando bandari ya Mombasa.

Nchi ya Kenya imeambulia kichapo kikubwa huku serekali ya Jubilee ikielekea katika uchaguzi mkuu mwakani na kuiacha Tanzania ikijinyakulia miradi mikubwa ambayo itaongeza ajira, fedha za kigeni na ukuaji uchumi katika eneo hili la EA na kuiacha Kenya ikipoteza ushawishi wake katika sekta za usafirishaji na uchumi katika mapana yake.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.

===============

lake+malawi.jpg

Tanzania is deploying three ships on Lake Nyasa, also known as Lake Malawi, despite an ongoing territorial dispute with Malawi over the lake. The deployment could jeopardise the mediation process.

Malawi, which lies to the west of Africa’s third largest lake, claims to own the entire lake, while Tanzania, to the east, maintains it owns half of the northern area — following a simmering animosity between the two countries.

The Tanzania Ports Authority (TPA) said the first 350-tonne passenger-cargo ship, which is part of a $12.3 million project, will start operating on Lake Nyasa in August this year.

Itungi-Kyela port manager Percival Salama said Songoro Marine Transport Ltd — which is the project’s contractor — is finalising construction of the passenger vessel.

Technical director of Songoro Maritime Transport Saleh Songoro said the ship is being constructed in Kyela, with technical assistance from ship building company APT Global Marine Services of Dubai. The multipurpose ship will have a capacity for carrying 350 tonnes of cargo and 193 passengers.

The other two cargo barges with a capacity to carry 1,300 tonnes of cargo each, will be constructed and commissioned between August and October 2017.

Mbeya Regional Commissioner Amos Makalla said the ships will boost Tanzania’s marine transport. “The ships will transport luggage and passengers from Mbeya, Njombe, Ruvuma, and neighbouring countries of Zambia, Mozambique, and Malawi itself,” said Mr Makalla.

Tanzania and Malawi are currently waiting to hold another round of mediation talks, which were stalled for two years as the two countries held general elections.

Deployment of the ships could frustrate the talks over ownership of the lake.

“Malawi could be angered by the move, but Tanzania is deploying ships because it believes half of the lake belongs to it,” said senior lecturer at the Institute of Finance Management Abdallah Saqware.

In June 2013, when Tanzania revealed plans to deploy vessels on Lake Nyasa, Malawi protested, warning that the deployment of ships would threaten the ongoing mediation efforts to resolve the long-standing border dispute.

Source: The EastAfrican
 
Tanzania to deploy three cargo ships on disputed Lake Nyasa.

Ni ajabu gazeti lililojipachika jina la Afrika mashariki limekuwa likiegemea na kutetea maslahi ya Kenya dhidi ya mataifa mengine ya Afrika mashariki.Gazeti hili lilikuwa kinara wa kutangaza habari za CoW kila mara na kusifia miradi mingi iliyokusudiwa kuanzishwa chini ya ushirika wa nchi tatu Kenya,Uganda na Rwanda ikiwemo visa ya pamoja,free movement of labour na mradi wa LAPPSET na nk.

Miradi yote hii ilikuwa na lengo la kuiadabisha Tanzania baada ya kukataa kuingiza ardhi katika mkataba wa EAC.Bahati nzuri Uganda na Rwanda zimezinduka usingizini na kuamua kuhamisha baadhi ya miradi Tanzania kama ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda na Rwanda kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa reli SGR ambayo utazidisha matumizi ya Bandari ya Dar na kuiweka kando bandari ya Mombasa.

Nchi ya Kenya imeambulia kichapo kikubwa huku serekali ya Jubilee ikielekea katika uchaguzi mkuu mwakani na kuiacha Tanzania ikijinyakulia miradi mikubwa ambayo itaongeza ajira,fedha za kigeni na ukuaji uchumi katika eneo hili la EA na kuiacha Kenya ikipoteza ushawishi wake katika sekta za usafirishaji na uchumi katika mapana yake.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.
Na ndo ushangae JK Alilifungia kusambazwa Tanzania.Nyb fulani wakalalama weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Akiwemo @zitto.Ndio Uhuru wa habari huo wanaousema.
 
Baada ya Tanzania kuishinda Kenya katika mradi wa bomba la mafuta ya Uganda gazeti la "The East African" ambalo lilikuwa kinara wa propaganda dhidi ya maslahi ya Tanzania katika mradi limeibuka na sakata la mgogoro wa ziwa nyasa kama habari kuu ????.

Ni ajabu gazeti lililojipachika jina la Afrika mashariki limekuwa likiegemea na kutetea maslahi ya Kenya dhidi ya mataifa mengine ya Afrika mashariki.Gazeti hili lilikuwa kinara wa kutangaza habari za CoW kila mara na kusifia miradi mingi iliyokusudiwa kuanzishwa chini ya ushirika wa nchi tatu Kenya,Uganda na Rwanda ikiwemo visa ya pamoja,free movement of labour na mradi wa LAPPSET na nk.

Miradi yote hii ilikuwa na lengo la kuiadabisha Tanzania baada ya kukataa kuingiza ardhi katika mkataba wa EAC. Bahati nzuri Uganda na Rwanda zimezinduka usingizini na kuamua kuhamisha baadhi ya miradi Tanzania kama ujenzi wa bomba la mafuta ya Uganda na Rwanda kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa reli SGR ambayo utazidisha matumizi ya Bandari ya Dar na kuiweka kando bandari ya Mombasa.

Nchi ya Kenya imeambulia kichapo kikubwa huku serekali ya Jubilee ikielekea katika uchaguzi mkuu mwakani na kuiacha Tanzania ikijinyakulia miradi mikubwa ambayo itaongeza ajira, fedha za kigeni na ukuaji uchumi katika eneo hili la EA na kuiacha Kenya ikipoteza ushawishi wake katika sekta za usafirishaji na uchumi katika mapana yake.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.

===============

lake+malawi.jpg

Tanzania is deploying three ships on Lake Nyasa, also known as Lake Malawi, despite an ongoing territorial dispute with Malawi over the lake. The deployment could jeopardise the mediation process.

Malawi, which lies to the west of Africa’s third largest lake, claims to own the entire lake, while Tanzania, to the east, maintains it owns half of the northern area — following a simmering animosity between the two countries.

The Tanzania Ports Authority (TPA) said the first 350-tonne passenger-cargo ship, which is part of a $12.3 million project, will start operating on Lake Nyasa in August this year.

Itungi-Kyela port manager Percival Salama said Songoro Marine Transport Ltd — which is the project’s contractor — is finalising construction of the passenger vessel.

Technical director of Songoro Maritime Transport Saleh Songoro said the ship is being constructed in Kyela, with technical assistance from ship building company APT Global Marine Services of Dubai. The multipurpose ship will have a capacity for carrying 350 tonnes of cargo and 193 passengers.

The other two cargo barges with a capacity to carry 1,300 tonnes of cargo each, will be constructed and commissioned between August and October 2017.

Mbeya Regional Commissioner Amos Makalla said the ships will boost Tanzania’s marine transport. “The ships will transport luggage and passengers from Mbeya, Njombe, Ruvuma, and neighbouring countries of Zambia, Mozambique, and Malawi itself,” said Mr Makalla.

Tanzania and Malawi are currently waiting to hold another round of mediation talks, which were stalled for two years as the two countries held general elections.

Deployment of the ships could frustrate the talks over ownership of the lake.

“Malawi could be angered by the move, but Tanzania is deploying ships because it believes half of the lake belongs to it,” said senior lecturer at the Institute of Finance Management Abdallah Saqware.

In June 2013, when Tanzania revealed plans to deploy vessels on Lake Nyasa, Malawi protested, warning that the deployment of ships would threaten the ongoing mediation efforts to resolve the long-standing border dispute.

Source: The EastAfrican
Hili lifungiwe tena
 
Tafsiri yako na hiyo taarifa yanagongana. Sakata la ziwa Malawi(soma hilo jina tena) ndo ishu hapa na sio porojo za Kenya hili na Kenya lile. Mwisho usimuombe Mungu akubarikie nchi huku ukimtupia jirani lijicho
libaya. Umealikwa hapa MK254 na wengineo
 
KI- UTU UZIMA HULIFUNGII GAZETI UNALIACHA TU , LITAJICHOKEA LENYEWE NA KUJIELEWA / ALTHOUGH KINACHOANDIKWA SIONI KAMA KINA IMPACT YOYOTE KWA TANZANIA.
 
Kadiri siku zinavyo kwenda Wenzetu hawa watalazimika kuwa in good terms na sisi hawana jinsi, wakijifanya wajuaji watajikuta wapo isolated, mwisho wa siku wanaishia kusafirisha bidhaa/goods za nchini mwao.

Hivi reli ya kati ikitandazwa kwenda Rwanda, Burundi, DRC, Uganda na Sudani Kusini, bomba la crude oil kutoka Uganda likihunga Congo ya kasikazini kwenye mafuta na Sudan Kusini mafuta ya nchi zote hizo kusafirishwa kuja Bandari ya Tanga, halafu na sisi tukitandaza bomba la gesi kwenda nchi tajwa hapo juu - je, wenzetu watabaki wageni wa nani?
 
Mbona huwa mnababaika ovyo kama kuku aliyekatwa kichwa. Kwani hapo gazeti limedanganya? Kwamba mnanunua meli zitumie ziwa Malawi mbona lipo. Sasa magazeti yasiandike.
Tatizo mumezoea kubembelezwa na magazeti hadi likitokea linaloandika ipasavyo mnalialia.

Magazeti yataandika taarifa tu maana hakuna namna.
 
Hivi kuna Watanzania ambao wanasoma habari za The East African?
Tena mnayanunua sana maana hamna namna. Uandishi wake wa hali ya juu na wasomi wasiokua na uvivu wa kusoma huwa wanayapenda sana.

Unahitaji kuwa na akili kuyaelewa.
 
Hata kama tunasoma The East African wanafanya propaganda, let's be honest. Nimefanya kazi na NMG pamoja na baadhi ya media houses hapa kwetu jamani NMG ni level nyingine. Hapa Bongo hakuna media house utakayoilinganisha na NMG ambao ni wachapishaji wa The East African, Daily Nation, Taifa Letu huku Mwananchi Communications Ltd ikiwa ni subsidiary yake. Nikiwa kama mtu ninaependa kujifunza mambo mazuri let's accept ubora wa The East African.
 
Tena mnayanunua sana maana hamna namna. Uandishi wake wa hali ya juu na wasomi wasiokua na uvivu wa kusoma huwa wanayapenda sana.

Unahitaji kuwa na akili kuyaelewa.
Inasikitisha sana kama unachokizungumza ni kweli hata kwa asilimia 50.
 
Back
Top Bottom