Gazeti la Tanzanite limetoa tuhuma nzito kwa Charles Kimei... Nani yupo nyuma ya haya?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Gazeti la Tanzanite linetoa tuhuma nzito likimuhusisha Charles Kimei aliyekuwa CEO wa CRDB Bank kuwa fedha zake zaidi ya bilioni 150 za kitanzania zimenaswa.

Aidha limedai kuwa fedha hizo ni za kumng'oa Rais magufuli mwaka 2020. Tunahitaji kujua kwanini gazeti hili linaachwa lichafue wale wa upande mwingine? Ndiyo aina ya kile kinachotakiwa? Nani anaongoza kikosi hiki cha uchafuzi? Kwanini gazeti hili na mhariri wake hawajawahi kuchukuliwa hatua? Ndiyo uzalendo tunaohubiri?

Mimi naona wale mapadre wanaomualika Rais madhabahuni sasa wajitafakari! Wawaze ni aina gani ya kiongozi tuliye naye!

Ni hayo tu.
 
Tena kila siku laja na tuhuma nzito huku watuhumiwa wakishindwa kuliburuza gazeti hili mahakamani ama Baraza la Habari. Kuna nini chini ya carpet????
 
Gazeti la Tanzanite linetoa tuhuma nzito likimuhusisha Charles Kimei aliyekuwa CEO wa CRDB Bank kuwa fedha zake zaidi ya bilioni 150 za kitanzania zimenaswa.

Aidha limedai kuwa fedha hizo ni za kumng'oa Rais magufuli mwaka 2020. Tunahitaji kujua kwanini gazeti hili linaachwa lichafue wale wa upande mwingine? Ndiyo aina ya kile kinachotakiwa? Nani anaongoza kikosi hiki cha uchafuzi? Kwanini gazeti hili na mhariri wake hawajawahi kuchukuliwa hatua? Ndiyo uzalendo tunaohubiri?

Mimi naona wale mapadre wanaomualika Rais madhabahuni sasa wajitafakari! Wawaze ni aina gani ya kiongozi tuliye naye!

Ni hayo tu.
Musiba ni KICHAA.
 
Wale ni mbwa tu...wapo kwenye payroll ya pole pole na maneno wanayoandika huwa wanawekewa mdomoni!
 
Musiba ni KICHAA.
..
Screenshot_20181101-155345_1.jpg
 
Back
Top Bottom