Gazeti la tanzania daima linahujumiwa kibaha-pwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la tanzania daima linahujumiwa kibaha-pwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Dec 23, 2010.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  Kwa muda wa takribani wiki tatu,gazeti la tanzania daima limekuwa halipatikani mini kibaha sababu mtu aliyekuwa na mkataba wa kusambaza magazeti hayo haleti tena,kuna tetesi kwamba CCM wamepiga biti yasije tena....kumbuka hapa kibaha ndipo yule dogo MCHANGE,MGOMBEA WA CHADEMA alishinda na kuchakachuliwa
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa mkwere huko
   
 3. Double X

  Double X Senior Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii miCCM inachowazaga ni hujuma-hujuma tuu, hakuna mtu anaefikiria kuijenga nchi,wao ni kuibomoa tuu.ndio maana mi.......yao imefanana na bichwa la MA-ROPE!! SHAME ON U ALL CCM MEMBERS!!
   
Loading...