Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
MEMBE FOR PRESDENTIAL 2020.TWENDE NA MEMBE 2020View attachment 958932

Na gazeti la Tanzanite limehongwa na nani kuchafua majina ya viongozi mbali mbaliKwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Chadema walishaelewa Ujinga wenu nyie vilaza wa LUMUMBA toka mwanzo...kwamba mlitaka kumfunga Mbowe ndiyo iwe ajenda ya TAIFA na watu wasahau mambo mengine ya msingi kama wizi wa mafao ya wastaafu yaliyofanywa na Jiwe kwa kushirikiana na wabunge wenzenu vilaza, Upepo mkali unaovuma kwa kasi wa MEMBE na wenzake kwenye habari ya mjini kwa sasa na ajenda tamu ya "KAZI NA BATA" na sio ile yenu ya kipuuzi eti "HAPA KAZI TU" kwani umeambiwa sisi ni miti ..n.k..n.k...kama kawaida yenu *movies* zenu zoote ugonga mwamba hata kama mkimfunga mbowe mwaka Watanzania kamwe hawawezi kusahau uhuni mnaowafanyia na subirini 2020 mtakiona cha moto wezi wakubwa nyieKwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Likiandika tanzania daima limehongwa kumsafishaembe ila mwenye source za kufanya hadi magazeti mengine yaandike hamumjui? Kilaumuni kijarida cha Musiba na uzushi wake ndio umemfufua Membe upya. Isingekua Musiba nani alikua au angemuongelea Membe Leo hii?Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Washabiki wa membe wako chadema na si CCM!Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
tulia wewe kuni zichochewe.
Mkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.Nani kalihonga na ni shilingi ngapi? Kwanini usiende kuripoti TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake? Tanzanite limehongwa na nani kumchafua Membe na viongozi wengine?
Hapa utasema umejibu maswali yangu?Mkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.
Acha kujitoa ufahamu fala wewe!
Mbunge wenu alipigwa risasi lakini kibanda hakuiweka story yake front page kwa matoleo matatu mfululizo.
Mwenyekiti wenu ananyea ndoo kwa kuidharau mahakama lakini hamliongelei mmekazania membe...membe, mpaka mnajamba ushuzi kwa kukomaalia ufitinishi.
Ndio maana kibanda alitajwa na musiba
Shame on all of bavichaa!
Dadadeki Membe amewashika koni,, cheki wachangiaji wote wanampenda Membe, mtakufa kwa pressureMkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.
Acha kujitoa ufahamu fala wewe!
Mbunge wenu alipigwa risasi lakini kibanda hakuiweka story yake front page kwa matoleo matatu mfululizo.
Mwenyekiti wenu ananyea ndoo kwa kuidharau mahakama lakini hamliongelei mmekazania membe...membe, mpaka mnajamba ushuzi kwa kukomaalia ufitinishi.
Ndio maana kibanda alitajwa na musiba
Shame on all of bavichaa!
Mkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.
Acha kujitoa ufahamu fala wewe!
Mbunge wenu alipigwa risasi lakini kibanda hakuiweka story yake front page kwa matoleo matatu mfululizo.
Mwenyekiti wenu ananyea ndoo kwa kuidharau mahakama lakini hamliongelei mmekazania membe...membe, mpaka mnajamba ushuzi kwa kukomaalia ufitinishi.
Ndio maana kibanda alitajwa na musiba
Shame on all of bavichaa!
Kuna uwezekano mkubwa miaka yako shuleni uliitumia kusoma ili ufaulu mitihani na si kuelewa... Bahati mbaya sana umekosa vyote viwili... Na haya ndio matokeo yakeKwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.
Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!
View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Wewe akili zako mbona zimekaa kichawi kichawi?
Jikite kwenye hoja