Gazeti la Tanzania Daima latumika kumsafisha Membe(?)

Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Na gazeti la Tanzanite limehongwa na nani kuchafua majina ya viongozi mbali mbali
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Chadema walishaelewa Ujinga wenu nyie vilaza wa LUMUMBA toka mwanzo...kwamba mlitaka kumfunga Mbowe ndiyo iwe ajenda ya TAIFA na watu wasahau mambo mengine ya msingi kama wizi wa mafao ya wastaafu yaliyofanywa na Jiwe kwa kushirikiana na wabunge wenzenu vilaza, Upepo mkali unaovuma kwa kasi wa MEMBE na wenzake kwenye habari ya mjini kwa sasa na ajenda tamu ya "KAZI NA BATA" na sio ile yenu ya kipuuzi eti "HAPA KAZI TU" kwani umeambiwa sisi ni miti ..n.k..n.k...kama kawaida yenu *movies* zenu zoote ugonga mwamba hata kama mkimfunga mbowe mwaka Watanzania kamwe hawawezi kusahau uhuni mnaowafanyia na subirini 2020 mtakiona cha moto wezi wakubwa nyie
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Likiandika tanzania daima limehongwa kumsafishaembe ila mwenye source za kufanya hadi magazeti mengine yaandike hamumjui? Kilaumuni kijarida cha Musiba na uzushi wake ndio umemfufua Membe upya. Isingekua Musiba nani alikua au angemuongelea Membe Leo hii?
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Washabiki wa membe wako chadema na si CCM!
 
Nani kalihonga na ni shilingi ngapi? Kwanini usiende kuripoti TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake? Tanzanite limehongwa na nani kumchafua Membe na viongozi wengine?
Mkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.
Acha kujitoa ufahamu fala wewe!
Mbunge wenu alipigwa risasi lakini kibanda hakuiweka story yake front page kwa matoleo matatu mfululizo.
Mwenyekiti wenu ananyea ndoo kwa kuidharau mahakama lakini hamliongelei mmekazania membe...membe, mpaka mnajamba ushuzi kwa kukomaalia ufitinishi.
Ndio maana kibanda alitajwa na musiba
Shame on all of bavichaa!
 
Hapa utasema umejibu maswali yangu?
 
Dadadeki Membe amewashika koni,, cheki wachangiaji wote wanampenda Membe, mtakufa kwa pressure
tapatalk_1543823799983.jpeg
 
Mkakati ovu wa chadema kuifitinisha CCM tunaujua na tunaufahamu.
Acha kujitoa ufahamu fala wewe!
Mbunge wenu alipigwa risasi lakini kibanda hakuiweka story yake front page kwa matoleo matatu mfululizo.
Mwenyekiti wenu ananyea ndoo kwa kuidharau mahakama lakini hamliongelei mmekazania membe...membe, mpaka mnajamba ushuzi kwa kukomaalia ufitinishi.
Ndio maana kibanda alitajwa na musiba
Shame on all of bavichaa!

Mara hii Cyprian Musiba kawa Chadema, kweli mafisi mumevurugwa na bado mtavurugana sana.
 
Kwa wiki mbili mfulilizo gazeti la Chadema linalomilikiwa na Mbowe ,Tanzania daima limekuwa likija na front page za kumsafisha na kumsifia Membe kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania.

Hata kipindi ambacho Lisu amepigwa risasi gazeti la Tanzania daima halikuja na front page ya kuhusu tukio kwa wiki mbili mfululizo. Pia hata sasa hivi Mbowe yuko gerezani lakini gazeti haliandiki habari zake badala yake limejikita kumsafisha mwana ccm Membe!!

View attachment 958860View attachment 958861View attachment 958862
Kuna uwezekano mkubwa miaka yako shuleni uliitumia kusoma ili ufaulu mitihani na si kuelewa... Bahati mbaya sana umekosa vyote viwili... Na haya ndio matokeo yake
 
Nani kalihonga? Weka ushahidi hapa

Back
Top Bottom