Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,049
- 5,076
Kinachofuata sasa kifungo cha maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatafuta kifungo cha maisha nyie.
Tunataka ukweli na uwazi hata kama watapata kifungo cha kunyongwa, hili sio gazeti la uhuruKinachofuata sasa kifungo cha maisha
Karibu sana gazeti letu pendwa.
Tumefurahi sana gàzeti letu pendwa limerudi mitaani, nilikuwa nimeaacha kununua Magazeti sasa nitaanza kununua tena
Ni gazeti la manyanga'u eeeTunataka ukweli na uwazi hata kama watapata kifungo cha kunyongwa, hili sio gazeti la uhuru
Sasa wataanza kuwafungia waandishi mpk wakae chiniUkweli daima.... Unafiki hatutaki... Kumsifia mtu kwa matendo yake ya kishetani.... Kisa kumuogopa...
UhuruNi gazeti la manyanga'u eee
Tanzania daima gazeti la Manyanga'u wakwepa kodiUhuru
Sawa mamaTanzania daima gazeti la Manyanga'u wakwepa kodi
Ni gazeti la manyanga'u eee
Pendwa kwakoHata lingekuwa la nani ndilo GAZETI pendwa.
67% ya Watanzania wana virusi vya Ukimwi- Tanzania daima
Pendwa kwako
Wapinzani Tanzania nzima wako milioni nne tu asilimia 50 yao ni wachaga labda na miliki wa gazeti ni mchaga usipoelewa una akili ya nabii titoPendwa kwetu na wale wenzangu,sijasema kwako.Pole.Kasome lile la kufungia vitumbua Uhuru na Mzalendo
Ungemsikiliza Waziri wenu wa Afya usingeligusa Tanzania Daima,kasikilize vyema clip ya waziri wenu ndipo urudi.
Karibu sana GAzeti letu Pendwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaa
Wenyewe wamekiri walikosea, Mpambe bado umekaza!
Mbona muhuri umepigwa chapa ya tarehe ya mwaka 2018? Najua unaumia sana rohoni kukubali kuwa wazee wa Ufipa wamekosea detail muhimu kama mwaka. Je hiyo inaonyesha kuwa mwandishi wa hilo tangazo ndiye aliyelichapa na kulihariri?