Gazeti la Tanzania Daima latoka kifungoni baada ya kufungiwa kwa siku 90

67% ya Watanzania wana virusi vya Ukimwi- Tanzania daima

Ungemsikiliza Waziri wenu wa Afya usingeligusa Tanzania Daima,kasikilize vyema clip ya waziri wenu ndipo urudi.

Karibu sana GAzeti letu Pendwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaa
 
Pendwa kwetu na wale wenzangu,sijasema kwako.Pole.Kasome lile la kufungia vitumbua Uhuru na Mzalendo
Wapinzani Tanzania nzima wako milioni nne tu asilimia 50 yao ni wachaga labda na miliki wa gazeti ni mchaga usipoelewa una akili ya nabii tito
 
Ungemsikiliza Waziri wenu wa Afya usingeligusa Tanzania Daima,kasikilize vyema clip ya waziri wenu ndipo urudi.

Karibu sana GAzeti letu Pendwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaa

Wenyewe wamekiri walikosea, Mpambe bado umekaza!
 
Mbona muhuri umepigwa chapa ya tarehe ya mwaka 2018? Najua unaumia sana rohoni kukubali kuwa wazee wa Ufipa wamekosea detail muhimu kama mwaka. Je hiyo inaonyesha kuwa mwandishi wa hilo tangazo ndiye aliyelichapa na kulihariri?

Hao wazee wako wa ufipa wana phobia fulani inayo wasumbua. Wameokoteza barua ya kale na kuihuisha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom