Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Sema kule Siha, kinondoni nani anasoma Tanzania Daima!.....
.....Muda sahihi wa Kuitangaza Kinondoni ya Mwalimu
Ka bwana Mhariri kalikuwa na kimuhemuhe!!Nadhani litarudi tena kifungoni kwa kukosea tarehe ya hilyo taarifa yenyewe
Inauma eeh..???Sema kule Siha, kinondoni nani anasoma Tanzania Daima!
Huo mwaka(2017)!Nadhani litarudi tena kifungoni kwa kukosea tarehe ya hilyo taarifa yenyewe
Mbona muhuri umepigwa chapa ya tarehe ya mwaka 2018? Najua unaumia sana rohoni kukubali kuwa wazee wa Ufipa wamekosea detail muhimu kama mwaka. Je hiyo inaonyesha kuwa mwandishi wa hilo tangazo ndiye aliyelichapa na kulihariri?Kweli mnawapima watu kujua mapenzi yao kwa gazeti hilo. Uliipata wapi hiyo barua?? Huoni ni ya kufunguliwa kwa gazeti hilo mwaka jana?? Poleni sana mtaendelea kulisotea