Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

Wewe unaweza ukaliona Tanzanite vyovyote utakavyo but still kuna wengine wanalipenda na wanalisoma huku waki-enjoy.
Usidhani wewe Gazeti lako pendwa ndilo pendwa kwa wengine. Jifunze kuheshimu mitazamo ya wenzako ndugu.
Unapodai haki, kumbuka kutekeleza wajibu pia.
Hakuna heshima kwa mtizamo wa wengine kuhusu gazeti hili la kishenzi kabisa la Tanzanite. Yaani wewe kweli kama uko na akili nzuri na huna ushabiki wa kijinga unaweza kuliona Tanzanite kwamba linaandika habari ambazo ni balanced na zenye kuleta elimu kwa wasomaji? Jipime vizuri uwezo wako wa kunyambua mambo.
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Mimi nilijua tu ulivyoitwa Bungeni nikajua lazma watakuwa wamekwambia vitu viwili uchague kuendelea na uandishi wako ili baadae ukalishwe juu ya mdomo wa chupa ya bia ya safari na kung'olewa kucha au uache uandishi wako ukalime mpunga kwenu?naskia ulijibu kuwa babu yako aliwai kukwambia kuwa ukiitaka mali utaipata shambani ongera sanaaa naskia umeisha wai majaruba!
 
Back
Top Bottom