Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
 
Hahaha anajitutumua tu, wakikaza ataachia. Huwa anasema "Mimi ni Jiwe kwelikweli" sasa anafanya makusudi ku prove point, eti hatishwi na hapangiwi anafanya lolote atakalo. Ila nauhakika wakibana hata Uhuru hatutaliona maana hata huko ofisi linakogawiwa kwalazima watashindwa kulipa bili.
Kuweni kama Lowassa kaeni kimya mtasalimika, lakini mki washwa washwa mtaishia jela.
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Yadaiwa Dotto Bulendu kipindi chake cha Jicho letu ndani ya Habari pia kilipigwa pini. Mmiliki wa TV station kilipokuwa kinaruahwa aliulizwa tu "eeh! (Kwa sauti ya Mwanry).

Japo kuna, wanaodai kipindi kimeyeyuka kwasabb za ukata nadhani sabb ya kupigwa pini ina uzito zaidi.
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Manzoni tulidhani hawezi naona full ukandmizaji na kutoa ccm ni hadi 30 yes toka Leo maana hao wazu hu bana wakishaoewa machimbo watajifanya hawaoni ...watu wa Umri wangu na Oaskali hadi tufe ndo mageuzi Yatafanikiwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom