Gazeti la Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jun 14, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Gazeti la Uhuru la leo ambalo ni gazeti la serikali limeandika,,"Mtuhumiwa wa ufisadi aenda Nigeria kujisafisha".

  Hapa ni patamu,,kama hata chombo cha serikali ya ccm kinatamka waziwazi kwa mtindo huo.

  TBC wao bado humpamba kwa jina la "Waziri Mkuu Mstaafu".
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,147
  Likes Received: 1,242
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa.. Ila UHURU sio Gazeti la Serikali ni gazeti la CCM.
   
 3. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza leo nimestaajabu gazeti la CCM linamuandika vibaya kada wake. kweli mageuzi naona yanachukua kasi yake.
   
 4. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Wakuu hata mimi nimeisoma hiyo stori leo!!! Eti kada wa CCM anayetuhumiwa kwa ufisadi ameonekana katika sinagogi la Mchungaji T.B. Joshua huko Nigeria akiombewa juzi jumapili!!!

  Wakuu huyo mtuhumiwa atakuwa nani? ... coz atakuwa mmojawapo wa wale mapacha watatu!!!!
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  We unategemea nini kama Nape kashika mpini halafu kina Lowassa wameshika makali? Kutesa kwa zamu!
   
Loading...