Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Era ya kutishana ya Magufuli sasa hivi ipo 6 metres deep kule Chato.

Wacha media iibue ufisadi under Magufuli's watch ili mama Samia airejeshe nchi kwenye mstari!
 
Relax,huo ni ujuaji.kenge wewe.
 
Hizi ndio zilikua akiri za mwendazake
Hii sio awamu ya 5 tena jamani, hii awamu ya 6
 
Waliyomhoji ni nani ndo akatoa jibu hilo ? Maana tangu jana ameshikiliwa na anahojiwa na TAKUKURU.

Inawezekana kwa maelezo yako hapo, TAKUKURU tayari wametoa habari hiyo kwenye Raia Mwema.
Kuna tatizo wakitoa?
 
Era ya kutishana ya Magufuli sasa hivi ipo 6 metres deep kule Chato.

Wacha media iibue ufisadi under Magufuli's watch ili mama Samia airejeshe nchi kwenye mstari!
Swala sio kuibua ufisadi issue ni ukweli kwenye details za habari yenyewe.

Sio kwa sababu raisi kasema jambo ndio tuanze utaratibu wetu wa ‘mtanzania mpe kichwa cha habari’ contents anajazia mwenyewe.

Hayo ndio mambo yaliyowapeleka hakina Rugemalila jela, miaka tano upelelezi aujakamilika. Yote ni kwa sababu walianza kuhukumiwa na jamii kabla ya kupatikana kwa ushahidi.

Habari ya kutunga ni ya kutunga tu, ata iwe inaongelea current issues.
 
Kwa kweli mafisi hayalali,

Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Duuh Mh Rais nahisi ungefagia wote hapo anza upya la sivyo watakuangusha tu
Mh Rais nchi hii ina manyang'au wengi.hakkisha unakula nao sambamba na usiwaangalie usoni
 
Kuna tatizo wakitoa?
Kama uchunguzi bado unaendelea - Ndio. Hii inaweza kujeopardize build up of evidence na kesi hasa pale zaidi ya mtu mmoja anapohusika.

Na ndio utaona TAKUKURU wametumia busara kutotoa taarifa ya uchunguzi. Hata pale walipohojiwa tetesi ya yeye kutoroka wakamkamatia Morogoro mmoja kasema hana taarifa na mwingine kawaelekeza kuuliza Makao makuu.
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Kama watanzania sio watu wa kuchekea maana yake hata viongozi nao sio wa kuchekewa kwani ni watanzania pia😆😆😆😆
 
Ukiona gazeti kama hilo linaandika ujue wamefanya investigation ya kutosha, usidhani wanaandika kiboya tu. Kwenye journalism ndio maana kuna kitu kinaitwa investigative journalims ndio hiyo sasa na kazi yake ni kufichua yale yaliyojificha. Magufuli alizuia aina hiyo ya uandishi ili aweze kufanya madudu yake. Maana yake ni kwamba suala la ufisadi sio kwamba halikuwepo bali habari za ufisadi ndizo zilizozuiwa kuandikwa ndio maana mkadhani hakuna upigaji. Sasa muda mfupi tu tumeona ya Bandari, ATCL na BOT je mangapi mengine yatakuwa yamefichwa? Magazeti yaliyokuwepo yalipewa muongozi wa kusifu na kuabudu tu baas! Kazi njema!
 
Kama watanzania sio watu wa kuchekea maana yake hata viongozi nao sio wa kuchekewa kwani ni watanzania pia😆😆😆😆
Well watatumia kauli za raisi kufungua ‘pandora box’ sasa kwa sababu upepo unavuma upande wake, aina maana utabaki ivyo kwa miaka 4.5 iliyobaki.

Kinachohitajika ni consistency watu waibue uchafu serikalini; lakini habari iwe na facts. Without facts sanctions kama kawa kwa mujibu wa sheria.

Vinginevyo kama nilivyosema habari kama hizi zinafungua the pandora box.

You know what they say “beware of Greeks bearing gifts”.
 
Kama uchunguzi bado unaendelea - Ndio. Hii inaweza kujeopardize build up of evidence na kesi hasa pale zaidi ya mtu mmoja anapohusika.

Na ndio utaona TAKUKURU wametumia busara kutotoa taarifa ya uchunguzi. Hata pale walipohojiwa tetesi ya yeye kutoroka wakamkamatia Morogoro mmoja kasema hana taarifa na mwingine kawaelekeza kuuliza Makao makuu.
Nimekuelewa Bi/ mkubwa ila wakati mwingine lazima wamwage maji ili mtuhumiwa asiweze kuya chota tena!
Tarifa ambayo bado ni siri huweza kumlinda mtuhumiwa pengine!
 
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?
Ndio zinaweza mkuu, Kwani unafikiri akina Kitilya taarifa zao za miamala zilitolewa na nani?

Private bank wanatoa sema inategemea wanatoa kwa nani?? Serikali haizuiliwi ikitaka kupata taarifa stahiki; Ndio maana Kuna Regulator wa taasisi mbalimbali; Private Bank zinakuwa Regulated na Central Bank.
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
There is no secret under sunshine.
 
Back
Top Bottom