stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,384
- 3,494
Vipi wale akili badala ya kukua inaoza na wao unawasaidiaje/unajisaidiaje?
sina cha kukusaidia mkuu, kaza tu baba huenda ukapata nafasi pale ufipa na siasa zenu uchwara
Vipi wale akili badala ya kukua inaoza na wao unawasaidiaje/unajisaidiaje?
Kuna tofauti kati ya uhuru wa maoni na upotofu wa maoni...kumekucha............................mambo ya uhuru wa maoni ni magumu sana
Mmecharukaaa😅😅Gaidi yupo somewhere salama ananyea debe muda huu
Wanafurahi kuita wemgine magaidi. Polisi wameshachunguza Hamza alikuwa Mwana CCM GaidiHivi Gerson Msigwa naye ana mme na watoto?
Kakuwekea na vifungu kwenye tamko lake ila bado hujaelewaJamani hili swali sio ujinga, Hivi mwenye mamlaka ya kufungia ni Waziri tu hata Msigwa ana mamlaka yakufungia. Mimi ndio mara ya kwanza kuona nje ya waziri mtu kuwa na madaraka. Nauliza tu jamani sababu ukweli sijui.
......😊😊😊....Tena tumepigwa mwingi mkuuuujHuyu Mama tumepigwa mazee,
Unadhani angekuwepi baba asingefungia hili?Huyu Mama tumepigwa mazee,
Kwa hiyo unakiri kuwa CCM ni chama cha hovyo!!??.hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
Hili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?Mnataka katiba mpya ili ichekelee upuuzi kama huo wa hilo gazeti? Hivyo vichwa vyao vya habari unaona vipo sahihi? Kwa nia yenu hii ovu ya kutaka katiba mpya basi hamtokuja ipata, nchi lazima iwe na nidhamu na njia zake za kujiendesha! Huo upuuzi wenu tafuteni nchi nyingine mkaufanye! Mother endelea kuchapa hawa wajasiriasiasa waliopoteana kwa sasa
1. Naomba kuelimishwa kuhusu sheria zetu zinasemaje inapotokea mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) inapotoa uamuzi kwamba vifungu kadhaa vya the Media Services Act, 2016 (R.E 2019) vinakiuka masharti ya Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao Tanzania imeridhia kutumika kama sehemu ya sheria tunazotakiwa kuziheshimu na kuzitekeleza.View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
Kwao ni wapi kwani?Hili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?
View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
Kufa kizembe kama yeyeKata mti panda mti
Mimi na JPM ni kitu kimoja
Uhuru ilikuwa siku 14. Kwanini hili 30?
Hao waliokuwa wanapata riziki zao kupitia gazeti hili na wategemezi wao wanakula wapi?
Adhabu hizi ni kama za kumfungia dereva wa basi leseni. Akale wapi yeye na wanaomtegemea?
Waajiriwa serikalini wanaufahamu duni sana kuhusiana na haki za msingi za watu wakiwamo dependants wao.
Katiba mpya itapaswa pia kuangazia haki za wahanga kama hawa dhidi ya umbumbu wa watendaji serikalini.
Wamechukia😅😅Kwani ni uongo! Hamza si alikua kada na mjumbe wa CCM Ilala na alimnadi Marehemu Mzee Pombe kwenye uchafuzi wa 2020.
Haya hapo kwenye tozo 17 mpya kwani ni uongo hamjaleta tozo hizo! kama mnaona habari ya tozo ambayo ni ya kweli eti inawagombanisha kwani mnakusanya sasa hizo tozo, si muache ili msigombanishwe na hao raiya.