Gazeti la Rai lina nini?

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Jamani kwa waliosoma Gazeti la Rai lina habari gani maana kuna watu wamepita ofisi mbalimbali wakilikusanya na kusema lina habari ambayo haikustahili kusomwa na kuchapishwa leo, ni habari gani hiyo kwa aliyebahatika kulisoma maana nimelitafuta mpaka nimechemka, msaada jamani!!
 
mzee mbona lipo mitaani limesheheni habari za wikiliksi
 
huku town city centre halipatikani na wauza magazeti wanasema watu wa CCM wamepita wakiyakusanya na kuyanunua yote sasa sie tukataka kujua kulikuwa na habari gani, anyway kama ndiyo hivyo poa
 
Hata mi nilisikia ya kwamba wauza magazeti wamebaniwa wasiliuze, inawezekana kuna habari ya kuikosoa Sirikali!
 
Kwa waliobahatika kulisoma basi watujuze maana tunasikia tu wikileaks mnatuacha tutani wadau.
 
hahaha Rai nalo gazeti?.....

Lilitoka Rai....likazaa...Raiamwema......

Raiamwema likazaa....Raia Tanzania

TANZANIA GAZETI NI RAIAMWEMA TU HAYO MENGINE SIJUI ...

SEMA NA RAIAMWEMA YULE DILUNGA NAYE NAONA TAYARI TEAM MAMVI MAANA......
 
Back
Top Bottom