Gazeti la Rai lafanyiwa umafia!!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Gazeti la Rai leo hii limekumbana na Umafia wa watu wanaosadikiwa ni wa TIS kwa kununua nakala zote ambazo ilikuwa imeziandika habari ambazo huenda zitajiri siku za usoni. Watu hao walikwenda mbali zaidi kwa kuingia hata kwenye production ya gazeti hilo na kuzuia usambazaji wa nakala ambazo zilikuwa tayari zipo tayari kusambazwa. Kifupi wanaJF aliyeliona gazeti la leo la RAI atujuze na aseme kama upatikanaji wake ulikuwa wa kawaida.
Habari hizo zilivuja juu ya mabadiliko ambayo kama yatatokea katika medani ya siasa yangewaumiza kambi ya mafisadi sasa ili kujilinda ilikuwa ni lazima kuimwaga kwenye media ili kumpunguzia mtoa maamuzi kiasi fulani kwani ingeonekana kama anafanya ambayo yalishaandikwa na magazeti.
 
Siyo uhuni ila habari hiyo sikuiona lakini nimeiona katika post inayosema Gazeti la Rai laondolewa sokoni. Samahani kwa usumbufu naomba wote mtakaosoma post hii muende kwenye post niliyoitaja. Mwisho Dreamer siyo kila mtu ni mhuni, tumia lugha laini kidogo vinginevyo itakuwa kama Korea ya Kusini na Kaskazini sasa hivi!!!!!
 
Poa kaka nimekugongea na senks kama ishara ya urafiki na tusherekehe kuzaliwa kwa mwokozi kwa amani
 
Kwani mmiliki wa rai ni nani? Amekosa nini hadi aruhusu hayo yaandikwe? Yangu macho.
 
Back
Top Bottom