Gazeti la Mwananchi leo halipo sokoni, kisa lina ugomvi na mawakala wake

Wakuu,
Leo hapa Dar es Salaam gazeti la Mwanachi halipo kabisa kwenye soko. Nilipomuuliza muuza magazeti mmoja ameniambia ni kwa sababu wanaugomvi na ma-agent (mawakala) ambao wameweka mgomo wa kutolipokea na kulisambaza gazeti hilo kutokana na malipo kiduchu inayotoa gazeti hilo.
Dar sehemu gani? Mbona nimeliona gazeti la Mwananchi Mwenge,Buguruni na Uwanja wa ndege.
 
Wewe ni mgeni hapa Dar, au umeamua kukusanya wajinga kwa mtindo huo? Njoo nikupe nakala moja nimenunua kariakoo.
 
Wakuu,
Leo hapa Dar es Salaam gazeti la Mwanachi halipo kabisa kwenye soko. Nilipomuuliza muuza magazeti mmoja ameniambia ni kwa sababu wanaugomvi na ma-agent (mawakala) ambao wameweka mgomo wa kutolipokea na kulisambaza gazeti hilo kutokana na malipo kiduchu inayotoa gazeti hilo.
Kama sokoni halipo nenda kwenye 'internet cafe' lipo ni buuuureee huhitaji wakala ila kusoma tu!!! Dar es Salaam tunawatakia siku njema ya wapumbavu na wala si wajinga maana kiingereza ni 'fools' day na siyo 'ignorants' day!!! Mimi sikubali kuwa ni mpumbavu naweza kuwa mjinga wa kupata mwananchi kwa njia ya mtandao lakini si mpumbavu wa kulisoma nikiliona.
 
Back
Top Bottom