Gazeti la Mwananchi lamuangukia Waziri Membe

...Uchunguzi wa Miezi 18 kwa Habari ndogo kama hiyo??? Mwananchi mtuambie kama Mmeishaingia kwenye Payroll ya Raisi mtarajiwa ambaye sasa kila mera anataka kuwa 'News' kiasi kwamba tunajiuliza anafanya kazi saa ngapi!!!
 
Katika gazeti hili latarehe 12/01/2011 tulichapisha habari yenye kichwa
Hapa mbona ilishapita muda wa kuuomba radhi kwa mujibu wa MOAT so haikua na haja ya Mwananchi kuomba radhi kwa habari iliyokwisha kutoka zaid ya mwaka mmoja na nusu bila kukanushwa vinginevyo tunahisi kulikua na ka namna flani ka kusafishana
 
Kwa habari hii, sijui nitaliamini gazeti gani! Reputation ya magazeti hapa nchini ipo down sana. Itafika wakati nitaamini habari ambayo in the first place nami nimeishuhudia. Vyombo vingi vya habari hapa nchini vinamilikiwa na kuongozwa na wenye fedha na malengo ya kisiasa. Shit!!!!!!!
 
Hawajakosea wako kazini, hili gazeti si lolote si chochote, hawa wakina Silas huko Kenya ndio waliokua wanakaa ikulu na Kibaki wakati wa standoff ya kenya wakipigia propaganda chama cha wakikuyu huku waki play down swala la wakenya kuuawa kama panzi huko barabarani. Awamu hii ni ya wao kuilinda CCM maana ndio condition waliyopewa mwaka huu wakati wana recruit MD kwa hiyo baada ya kuumwa na unyasi sasa Tido hana njia bali kujikomba, sasa na hili la zitto na urais? ndio msaki na genge lake, tena kwa sasa inalipa maad zitto ndio aliyepewa kitita akaenda bungeni kumsemea mtu mdogo kama sam sholei ili azidishiwe muda wa kubaki kama MD eti zitto anasema hakuna ma manager wenye uwezo hapa TZ huu ndio wepesi wa viongozi wa nchi hii, tamaa mbele wanatuuza kama njugu na sisi tunawachekea. sasa hii ya zitto pia watasema walikosea hawakufanya uchunguzi? wanafanya hivyo kuvuruga upinzani we have to be extra careful jamani
 
ni funzo kwa vyombo vingine vya hbr,kuwa makini wanapokuwa wanaandika habar,ili kuondoa migongano na wa2 mbalimbali!
 
Back
Top Bottom