Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

Wacha mtajane tu.

Ndio maana kuna maamuzi mabovu yanatolewa na watu tunaowaita viongozi hadi inashangaza, kumbe hawajaenda shule wanatumia vyeti vya watu wengine.

huyu naye ni kihiyo kubenea adhubutu kuingia kwenye hii vita maana hata yaye ameandika anaelimu ya kidato cha nne lakini hajawahi kupeleka kopi kwa katibu wa bunge bora makonda amesoma hadi chuo kikuu , huyu anaelimu ya hapa na pale
 
Hiz mambo za vyeti wangesema na mm sina vyeti kwa nlivosoma kwa tabu wallahi ninge vipost Instagram Facebook Tweeter Tango Tikiti na kuwa tag woote wanao sema sina hata kipindi kwenye tv ningekopa kuwe na tangazo la vyeti vyangu sijui kwann Daudi hafanyi hvo kuwakomoa :D:D:D:D:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom