Gazeti la Mtanzania kusitishwa kuanzia Mei 20, 2019 ili kupisha marekebisho

Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea
Na channel 10 itaelekea huko punde... hivi uhuru bado linachapishwa?
 
Nilikua nasikia hao waajiriwa hapo wameenda karibu miezi 4 bila mshahara hii ya kuhamia digital ni zuga tu
Tasnia ya habari mashakani
(1) Sahara Star media
(2) Ipp media
(3) New habari
Hatujui vyombo vingine huenda wanajikongoja tu, nakumbuka miezi mitatu nyuma Channel ten na Radio times zilinyanyua mikono na kununuliwa na CCM, kuna siku nilisikia Mwananchi nao walipunguza watu kazini....
Mambo yameharibika sana mtaani.
 
Mimi huwa nashangaa sana hawa wamiliki wa magazeti. Wanashindwa kusoma alama za nyakati. Sasa hivi almost 50% ya wanaotumia simu, wanamiliki smarttphone. Habari zinapatikana kwenye mitandao all the time. Watu hawasomi tena magazeti zaidi ya kuangalia vichwa vya habari baada ya hapo ni kuingia mtandaoni kutafta habari iliyomvutia na kuisoma kwa undani zaidi.
 
Huyu GT anakwambia ni uchumi umeshuka, wewe umetoa wapi haya maelezo yako
 
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea
Beberu mkubwa weeee !!!!
 
Haku
Kampuni ya New habari (2016) Limited imetangaza kusisitisha uzalishaji wa gazeti la Mtanzania kuanzia jumatatu ya wiki ijayo mei 20, 2019 hadi juni 20, 2019 kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea kutoka print kwenda digitali. Uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni hiyo kubadili mfumo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitalis kwa kipindi hicho chote.

View attachment 1098032
Hakuna kama JF
 
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea
Survival of the fittest
 
Beberu ni wewe unayeliwa mbele na nyuma
😆😆😆😆 Join date feb 12

Pamoja na kwamba nilikuwa upande wako ukashindwa kuelewa kwa sababu ya ugeni , mabeberu kwa tafsiri ya GT ni wale wote wanaoonyesha mapungufu ya nchi .

Namuomba Moderator asikupige ban maana naamini usingenitukana kama ungenielewa
 
Mimi huwa nashangaa sana hawa wamiliki wa magazeti. Wanashindwa kusoma alama za nyakati. Sasa hivi almost 50% ya wanaotumia simu, wanamiliki smarttphone. Habari zinapatikana kwenye mitandao all the time. Watu hawasomi tena magazeti zaidi ya kuangalia vichwa vya habari baada ya hapo ni kuingia mtandaoni kutafta habari iliyomvutia na kuisoma kwa undani zaidi.
Be your age.
Income ya gazeti haitokani ba habari unazosoma kwenye simu.
 
Back
Top Bottom