Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Kampuni ya New habari (2016) Limited imetangaza kusisitisha uzalishaji wa gazeti la Mtanzania kuanzia jumatatu ya wiki ijayo mei 20, 2019 hadi juni 20, 2019 kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea kutoka print kwenda digitali. Uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni hiyo kubadili mfumo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitalis kwa kipindi hicho chote.
Soma pia:
Soma pia:
Gazeti la RAi limepigwa stop kuuzwa leo
Taarifa zilizozagaa mjini na kwingineko ni kwamba Gazeti la RAI Nguvu ya Hoja la leo Machi 14 limepigwa pini na wakubwa ndani ya chama cha mapinduzi lisiuzwe mitaani na kuna maagizo kuwa lichomwe moto mara moja ili habari hiyo 'chafu' isiendelee kutamalaki mitaani. Kama hujabahatika kuliona...
www.jamiiforums.com