Gazeti la Mbowe TANZANIA DAIMA

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka kuwa gazeti la Propaganda la CHADEMA nilikuwa ni mteja mzuri wa gazeti hili la TANZANIA DAIMA lakini kwa sasa nimekuwa hata kuliona sitaki, kama ilivyo vile vile kwa gazeti la UHURU, nawaomba mhariri mkuu abadilike kwani huko tuendako litakosa soko kabisa na litashindwa kujiendesha.
 
Inamaana wewe usipolisoma ndo limekosa wateja?
 
Mi nadhani kikubwa ni kuliangalia linaandika nini, kwa mfano chadema ikifanya "A" ikaandika Chadema imefanya "B" inabidi kulipuuzia kabisa. Sidhani kama eti kwasababu ni gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema basi lisiandike habari za chadema.
 
Mawazo yako ni sawa na yale ya wafugaji wenye ngombe nyingi lakini bado wanalalia ngozi kwenye nyumba ya majani.
 
Kama uliweza kulisoma linakosaje tena wasomaji? au ulilisomewa? Hahahahaa hayo majungu mkuu
 
Magazeti nchi hii yanaandika habari kishabiki.
Habari leo hawawezi iponda CCm same as Tanzania daima kiponda CDM.
Utakufa ukisubiri siku hiyo ifike.
OTIS.
 
Huwezi amini siku hizi liko nyuma ya MTANZANIA la RA! ki mauzo na credibility
 
Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka kuwa gazeti la Propaganda la CHADEMA nilikuwa ni mteja mzuri wa gazeti hili la TANZANIA DAIMA lakini kwa sasa nimekuwa hata kuliona sitaki, kama ilivyo vile vile kwa gazeti la UHURU, nawaomba mhariri mkuu abadilike kwani huko tuendako litakosa soko kabisa na litashindwa kujiendesha.
Woyowoyo nakusihi ujifunze kuvumilia mawazo usiyoyakubali. Ukipenda kusikia kile tu unachokitaka hutobadilika. Soma yote, UHURU, TANZANIA DAIMA,.......hata yale ya Eric Shigongo, hakika utakuwa unajiweka mahala huru zaidi kimawazo.
 
Back
Top Bottom