Gazeti la mawio n.k, jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba

Status
Not open for further replies.
Ile thread mods wameifunga ngoja niseme hapa!
Mwigulu Nchemba wewe kama kiongozi wa chama kikongwe kama CCM unawezaje kuropoka matusi ya kumwita Dr Slaa "NO BODY" tena kwenye public forum kama JF?

Dharau hii inatokana na nini? Mambo ya polisi kuhusu Lwakatare umeyajuaje wakati wewe si polisi wala afisa usalama? Hivi hujui umri wako sahihi? au utasema umeteleza?
 
Last edited by a moderator:
jamaa anataka kujisafisha, gaidi ni gaidi tu at Osama alikuwa anajitetea hivyo hivyo
 
Koo udhahidi polisi akiokili mwanachadema badala ya kupelekwa mahakamani unapelekwa kwa mwigulu,. Daa polisi na ccm chini ya savimbi kweli hawaishiwi vimbweka
 
kuna kusoma na kuelimika,hivi ni vitu viwili tofauti sana.naisikitikia kodi ya watanzania iliyomsomesha mwiguli!!!!!mtoto anapobalee umwona hata baba yake si kitu lakini ukweli unabaki palepale kwamba baba ni baba.inaonekana mwigulu anajua mengi juu ya mabomu anayoyataja sana,polisi wanapaswa kumbana!!!poor mwigulu!!!
 
Jaman Mwigulu kumuongelea sana ni kumpaisha tu, me sio km kuna logic yoyote ya kumuongelea huyu jamaa, anapewa sifa ambazo si zake. Huyu ni chambo tu kuna mabedui wakubwa nyuma yake, maana hata anachoongea ni kwa makusudi maalumu na katumwa ili awachote akili kuweni makini, mkiona anabwabwa tupa endeleeni na mishe zenu. Mkimpotezea mara mbili au tatu hana tena hoja.
 
Hivi Mwigulu bado hujawashtukia wapambe wako wanaokutumia kama chambo ? Siku zako za kusimama mbele ya mahakama ziko karibu mno , subiri tu , huyo anayekulinda JK anamuheshimu Dr slaa , hivi hujiulizi tu ?
 
ndugu hebu ni saidieni huyu jamaa hii jeuri anaitoa wapi..? maana wakati mwingine ... kimtazamo naona kama anavuka mipaka hasa ya kisiasa..
 
Nne bila bd ni single ambayo ipo juu,muheshimiwa nasikia ulikimbia sana na ukaomba escort ya polisi,hah hah!!
 
Hili halijielewagi linaongea nini mwigulu ameshanganyikiwa skuizi naomba watu wake wa karibu mumlinde make kichaa kinanza kwa kuropoka bada hapo atanza kula kinyesi
Ukiwa ethiopya kwani ungeshindwa kutuma watu wakulipua? Kwani hata hilo la Arusha si ulituma polic na hukwenda mwenyewe? Kitu gani kinashindikana? osama alituhumiwa kuilipua marekani kwani alienda mwenyewe ama alituma watu? Tumia akili kujibu hoja hasa za walioenda shule kama Dr. Slaa
 
Mtu amezaliwaje 1978 awe na miaka 38?

Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS FROM NOW? KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWENI KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.
 
Kwa mamano haya, nakubaliana na Dr Slaa aliposema....."tatizo la Mwigulu ni kutokwenda shule na kama amekwenda basi atakuwa amepita kama ngombe anavyopita kwenye josh ambalo halina dawa"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom