Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.
Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.
HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?
Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI