Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI
 
Litakuwa ni gazeti la waliberali wanatafuta namna ya kutoka...
 
mpaka ifike 2015 ukweli utajulikana tu,kama chadema inaungwa mkono na maaskofu (wakristo),mashekh(waislam),au wananchi
 
Na Mimi nililisoma ile habari ilinikera sana, japo ndani mlikua na makala nzuri za uchambuzi.!!
 
Lidhibitiwe ili iweje?acheni unafiki wabongo mambo yakisemwa ukweli uliopo dhibiti,kila kitu dhibiti,mdhibitini na fastijest ana safari ya mia tano kila siku kiguu na njia....
 
Acha uzushi hiyo habari na mimi nimeisoma . Hakuna palipo andikwa wakristo watajiunga na chadema ila watahamasishwa kurudisha kadi za ccm.
 
Mmeanza kukiri kuwa Mwanahalisi ni kama Kahaba yupo ki wallet zaid sio Uume, kaoneshwa wallet na kidume kingine ameanza kumsilibia basha wake wa zamani, Bajet ya kuhonga Magazeti ilipunguzwa kugharamia safari ya Babu Ulaya na haya ndo matokeo yake
 
na mimi nililisoma ile habari ilinikera sana, japo ndani mlikua na makala nzuri za uchambuzi.!!
ukiona jukwaaaa liko kimya ujue kweli mpaka wakanushe wenyewe lakini hawakusema watajiunga chadema
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.
hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.

Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.
HEBU tujiulize.
mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?

huu ni uzushi wa gazeti hili

kama ndo gazeti la mawio limechapisha taarifa hizo, wakristo na chadema hawana sababu ya kuchukia. wanapaswa kutathmini ukweli wa kauli hiyo. kwa habari za uhakika ni kuwa gazeti la Mawio linachapishwa na kumilikiwa na kampuni ya SAED KUBENEA. KUBENEA huyu huyu ambaye kila siku chadema wanampigania ili apate haki ya kutoa habari. kutokana na hali hiyo, ni wazi kuwa kubenea anajua kinachoendelea na kwa hali hiyo taarifa hizo tuziamini kama vile vile tulivyoaminishwa kuwa dr ulimboka alitekwa na ramadhan ighondu. sote tunapaswa kushikamana na kulaani mpango huo mchafu kama vile vile tulivyoshikamana kuilaumu serikali juu ya tukio la dr ulimboka. kama hatuamini taarifa ya mawio ambayo imeandikwa na kampuni ya kubenea, basi ni busara pia tukaiondolea serikali kashfa zile za dr ulimboka maana ni kubenea huyo huyo ndiye aliyeandika na kuita taarifa za kiuchunguzi
 
Mmeanza kukiri kuwa Mwanahalisi ni kama Kahaba yupo ki wallet zaid sio Uume, kaoneshwa wallet na kidume kingine ameanza kumsilibia basha wake wa zamani, Bajet ya kuhonga Magazeti ilipunguzwa kugharamia safari ya Babu Ulaya na haya ndo matokeo yake

sure mkuu, wanadhani kubenea anatumika tu kama condom? pia tukumbuke ule msemo maarufu wa kiswahili kuwa ukipenda kula, basi ukubali na kuliwa.
 
Acha uzushi hiyo habari na mimi nimeisoma . Hakuna palipo andikwa wakristo watajiunga na chadema ila watahamasishwa kurudisha kadi za ccm.

wakirudisha kadi za ccm halafu watachukua kadi za chama gani? mkuu, kwani fasheni ya siku hizi si kurudisha kadi za ccm na kuchukua za chadema? au kurudisha za chadema na kuchukua za ccm? wewe unaishi nchi gani?
 
Nasikia gazeti la Mawio ni mbadala wa Mwanahalisi.Binafsi sijalisoma kujua ukweli wa mleta mada.Ila nitahadharishe kua tumekua na tabia ya kukurupuka kukubali au kupinga jambo bila ya kua na uyakini wa kile tunacokikubali/tunachokipinga.Watu makini,hutafuta kwanza ukweli wa jambo kabla ya kupinga au kukubali JAMBO LOLOTE.
 
Swali kwanini iwe kwa mrais waislam ndio patokee mashindikizo kama haya tz kutoka taasisi za wakiristo?
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.
hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.

Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.
HEBU tujiulize.
mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?

huu ni uzushi wa gazeti hili

kama jukwaa halijatoa tamko naona wewe ndio mzushi na mnafiki.anayetakiwa kujibu hoja hiyo Ni jukwaa la wakiristo wenyewe!wewe kenge unatafuta mini kwenye msafara WA mamba?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom