Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

Status
Not open for further replies.
Watanzania tumefikia hapo, tuache kulalamika kwa sababu mambo haya tumeyataka na tunaendelea kuyataka wenyewe. Tusubirini ushahidi kamili. Kazi mbaya ukiwa nayo, ukitamani vita usiogope mabomu.

Habari ikiwahusu mnaita uchochezi mbona za upande wa pili kashfa matusi kejeli huwa zinatoka wapi kama mnajua ni uchochezi?
 
nimeupenda huuu msimamo, utasaidia kututoa katika lindi la ufisadi na siasa chafu
 
nani kakuambia kuwa wakristo ni asilimia 76. hiyo takwimu imepatikana wapi
Utaki unaacha, sisi tuna sensa yetu makanisani tunaijuwa idadi yetu na ndio tunatumia sample hiyo kucompaset na sensa ya serikari. ni mambo ya calculation tu.
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI
Malaria Sugu

Karibu tena, kinachonishangaza ni kuwa staili yako ya ku-post huwa ni ile ile miaka nenda miaka rudi...!
 
Last edited by a moderator:
nani kakuambia kuwa wakristo ni asilimia 76. hiyo takwimu imepatikana wapi

[h=1]Christianity in Tanzania[/h]From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search

Seconnd Catholic church at the Holy Ghost Mission in Bagamoyo.

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups.[SUP][1

SOURCE Wikipedia

Inaonyesha 62 ni wakristo hii ni pamoja na Zanzibar,nadhani unajua Tanganyika inarejea so nimekisia wakristo watafikia 76%
[/SUP]
 
mkuu, sabodo mchezo huo wa kiliberali anaucheza sana na ukiona anawaita waandishi wa habari kukabidhi fedha kwa mtu yeyote basi ujue ndoa imekamilika hapo. kuonyesha kuwa dr slaa ni mliberali, zile fedha za kujenga visima 100 zote kazipeleka karatu na hilo linathibitisha kuwa anayepaswa kula mahari ni yule anayeolewa

Haha:)Hahha nimeipenda hiyo mla mahari siku zote nimuolewaji tu,
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI

MAlaria Sugu upoo mkuu wapi ulikuwapo jaman wapi Fauzia
 
Swali kwanini iwe kwa mrais waislam ndio patokee mashindikizo kama haya tz kutoka taasisi za wakiristo?
Je wakati "mrais" muislam Mwinyi hayo "Mashindikizo" yaliwahi kutolewa na hao wagalatia/wasamaria? Au ni kwa sababu "Mrais" mwenzetu huyu wa sasa ni d.ha.i......f?
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI HILI

Well come back Malaria Sugu
 
Mimi nilidhani kuwa umemhoji Tarcisius Ngalalekumtwa, akakwambia kuwa sio kweli, kumbe ni hisia zako tu,
Mwandishi wa habari hiyo ana nakala ya hilo tamko na alikuwa akinukuu kila anapotaka kufafanua, wewe na yeye ni nani mzushi?

Hilo tamko likiwekwa hapa naomba usikimbie, uje utuambie kuwa hilo sio tamko la Jukwaa la Wakristo bali ni la MAWIO.
 
Malaria Sugu acha kupotosha kilichoandikwa kwa makusudi!

-Mwandishi wa Mawio ameeleza kilicho azimiwa na Viongozi wa Kikristo dhidi ya serikali! Ya kwamba, serikali inasema kuwa Wakristo wote ni CHADEMA. Hivyo wamepanga kuwaambia waumini wao kuanzia July mwanzoni, warudishe kadi za CCM!

"....Mawio imeripoti tu, au imetaarifu umma wa watanzania nini kimeafikiwa na Jukwaa la wakristo (TCF) tarehe 31 Mei, 2013 ulioongozwa na wenyeviti watatu...Askofu Peter Kitula (CCT), Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa(TEC) na Rais wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania (PCT) Askofu David Batenzi......je, kosa la Mawio ni lipi hapa, au kuripoti hii habari?"

-Habari haisemi kuwa Jukwaa la wakristo linadai CHADEMA ni wakristo...kwani wenye kulisemea hilo ingekuwa CHADEMA wenyewe...bali wanacho lalamikia ni propaganda za serikali ya CCM kuwa wakristo ni CHADEMA.

Naomba kukunukuu...!
-mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
(naomba nitofautiane na wewe hapa kimtazamo.....kama CUF waliambiwa na serikali ni waislamu...wa kulalamika sio BAKWATA ni CUF wenyewe! Hata kama hoja yako ni sawa kuwa BAKWATA walitakiwa walalamike na wakanyamaza, sio lazima Jukwaa la maaskofu nao wanyamaze...ishu ni kwamba kwanini serikali inawagawa wananchi kwa imani za dini katika vyma vya upinzani?....anayesema HAWAA ni waislamu, WALEE ni wakristo....ni serikali!

Kuifungia MwanaHAlisi haikuwa sahihi...hii ni kuminya uhuru wa habari na haki za raia. Ishu ya Ighoundu kuhusika kumtesa Ulimboka.....ni kazi na wajibu wa serikali kuthibitishia dunia kuwa MwanaHalisi ni waongo kwa kutoa vielelezo! Ingelipeleka mahakamani mwanahalisi kwa kudanganya.....imeshindwa kufanya hayo kwa sababu walichoandika mwanahalisi ni kweli...hivyo basi ni faraja kwetu wananchi kwa kuzaliwa mtoto mwingine (MAWIO) kutoka kwa wazazi walewale ili tujuzwe yalipojificha madudu!
 
Mmeanza kukiri kuwa Mwanahalisi ni kama Kahaba yupo ki wallet zaid sio Uume, kaoneshwa wallet na kidume kingine ameanza kumsilibia basha wake wa zamani, Bajet ya kuhonga Magazeti ilipunguzwa kugharamia safari ya Babu Ulaya na haya ndo matokeo yake

I see, naona safari hii MAWIO wamepiga chini ya mkanda ndio maana mmeanza kuporomosha matusi mazito ya nguoni,
Lakini kuna ulazima wowote wa matusi mkuu?, Nyie si ndiyo wenye mamlaka?, Fungieni tu kama wameanza kuwaharibia.
 
je, wasio wakristo wanakataliwa uanachama wanapo taka kujiunga CDM? Kama ni ndiyo una hoja, kama siyo basi wewe ndo unaleta udini? Sijasikia kiongozi yeyote wa jumuiya za madhehebu ya kikristo akisema hayo. Ila mliberali Lipumba ndo tayari alitamka wazi kuwa 2010 ilibidi waokoe jahazi ili wapate haki sawa kwa wote!
 
Mmeanza kukiri kuwa Mwanahalisi ni kama Kahaba yupo ki wallet zaid sio Uume, kaoneshwa wallet na kidume kingine ameanza kumsilibia basha wake wa zamani, Bajet ya kuhonga Magazeti ilipunguzwa kugharamia safari ya Babu Ulaya na haya ndo matokeo yake
Mmh hufananii na great thinker tunaweza kulumbana lakini c kwa matusi tujifunze kuwa wastaarabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom