Gazeti la Majira ongezeni umakini. Ni Samia na sio samia. Jina la Rais lianze kwa herufi kubwa

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,928
6,467
Screenshot_20210601-035100_OneDrive.jpg
Muda mwingine wahariri wanajitafutia matatizo na kulazimika kuomba radhi. Waheshimu sana utambulisha wa mtu, nchi au Taasisi.
Naomba kuwasilisha
 
Exactly uko sahihi Jina lolote la binadamu/mtu au nchi uanzana na elfu Kubwa ie hauwezi kuandika kenya insteady unaandika Kenya Capital letter or dar-es-salaam badala yake utaandika Dar-es-Salaam. like wise hauwezi kuandika bashite insteady utaandika Bashite.
 
Ni jina la Rais lianze na herufi kubwa? Na wewe ungekua mhariri kuna siku ungeonekana haufai kwakua haujui wapi panastahili herufi kubwa na wapi hapastahili.

- Majina ya watu na majina ya maeneo yote huanzwa kwa herufi kubwa.

- Baada ya alama ya . ! ? neno linalofuata huanzwa na herufi kubwa.

- Aya mpya huanzwa na herufi kubwa.

- Vyeo au sifa ya mtu inayotumika kumtambulisha huanzwa na herufi kubwa.

- Pia kuna namna ya kutamka maneno yenye herufi kubwa.

Jamani haya ni mambo ya darasa la kwanza.
 
Exactly uko sahihi Jina lolote la binadamu/mtu au nchi uanzana na elfu Kubwa ie hauwezi kuandika kenya insteady unaandika Kenya Capital letter or dar-es-salaam badala yake utaandika Dar-es-Salaam. like wise hauwezi kuandika bashite insteady utaandika Bashite.
Huu ni uzamani
 
Back
Top Bottom