Gazeti la "Kulikoni" lafungiwa miezi mitatu; kutoka Jumatatu?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania.


Update 1:

Credit to: Daily News

State bans 'Leo Tena,' suspends 'Kulikoni'

THE government has banned 'Leo Tena' and suspended 'Kulikoni' newspapers for publishing seditious and defamatory news articles. The ban means 'Leo Tena' will no longer be published.

Briefing journalists this noon, the Minister for Information, Culture and Sports, Mr George Mkuchika, said that 'Leo Tena,' a sensational newspaper owned by Nabaki Africa of Dar es Salaam, published a front page pornographic picture, depicting two women in a compromising position.

"This is against the laws that govern newspapers in the country. Newspapers are supposed to educate, inform and entertain the public," Mr Mkuchika stressed.

"Kulikoni' newspaper has been suspended for 90 days starting next Monday -- January 11, 2010.

In 'Kulikoni' Newspaper of November 27th, 2009, issue number 812, it published a story, purporting that soldiers of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) cheat in national examinations. 'Kulikoni' newspaper is owned by Media Solution of Dar es Salaam.

The story published alleged that the process of making and doing exams in the army provides easy chances for officers who are not qualified.

The story further alleged that TPDF exams of 25th May, 2009 in Dar es Salaam, Ruvuma, Tabora, Arusha, Mwanza and Zanzibar, were leaked out and that Ruvuma and Tabora were the leading culprits.

The story, according to the minister, breaches the National Security Act of 1970 and the Newspaper Act of 1976, "which prohibits publication of seditious stories that might cause unrest within the army.

"The country's army holds respect across Africa, because it has been tested in different circumstances, including fighting in a war against the Idi Amini regime in Uganda. TPDF is also among peace keeping forces in United Nations and African Union units," Mr Mkuchika explained.

Due to its respectable position, some countries in Africa have invited the army for combat training, the minister said.

According to the minister, 'Kulikoni' editor refused to provide evidence and instead asked TPDF to form a committee that would look into the matter and the newspaper would publish the committee's report.

"The editor could not substantiate his claims in the story, after he was formally asked by the registrar of newspapers," noted Mr Mkuchika. Both notifications have been published in the Government's Notice yesterday, the minister added.
 
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania.

Zaidi tutafahamishana baadae
dah dah dah dah dah dah!

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
uchaguzi umekaribia... vyombo vya habari vinatishwa sasa...
 
Mwenye data kwanza atueleze hiyo habari iliyogusa jeshi inasemaje ?
 
Mapambano yameanza tena, hakuna kulala hadi kieleweke.
Kwangu mkuchika ni moja kati ya Mawaziri wa hovyo kama alivyo Chiligati, Sophia Simba , Chikawe na Wapuuzi wengine. uelewa wake ni mdogo katika Issue nzito.....tuendelee kusubiri.
 
Huyu Mkuchika vipi anapiga mpaka maiti? gazeti lenyewe lilisha jifia ages ago!
 
Jeshi la ''Wananchi'' wa Tanzania? kwani ni taasisi ya mtu binafsi? public iliyoenjoy hizo habari si ni watanzania wenyewe?
 
Habari ipi tena??ya Geshi?nini ?Meremeta au ?kazi imeanza!!wameitwa wakajitetea au ndio mamlaka waliyopewa kisheria!!!
 
Sio Kulikoni tu watafungiwa utaona hata hapa JF watasema hivyo hivyo. Viongozi wa Tanzania ni kama kunguni ambao tayari wapo kitandani usipowawekea dawa na kuwaua kabisa watakusumbua usiku mzima, Ndio hicho ambacho kimebadilika kutoka Chama Cha Mapinduzi kwenda Chama Cha Majambazi ambako mafisadi papa yamejishibisha damu ya walipa kodi wa Tanzania. Yanachofanya ni kutumia vimburu ambavyo vinapata makapi ya ufisadi wao.
 
CCm ni chama chenye nguvu sana kitatoka madarakani watakapo tibuana wenyewe,,loong last CCM.
 
Msimlaumu Mkuchika et al bure huyu ni JK mwenyewe anahaha sasa.
Exactly. Na hapo ndipo natamani kumuona Mengi kama ataendelea kujikomba kwa JK au vipi. Napapenda hapa....
My suscipicion always = Mengi siyo genuine "ufisadi" crusader...is rather being driven by an uterior agenda stacked somehere up his sleeve!
 
Hii nchi ni ya vitisho sana. Hiyo JWTZ ndiyo njia CCM wanatumie kuihujumu na kuwaibia Watanzania on the ground kwamba hawataandikwa na magazeti na hawatakaguliwa na Utoh. It is really a shame for a country pretending to be a rising democracy.... lakini wakikemewa na US na EU utasikia utetezi kibao au utasikia kesi moja ya ufisadi inapelekwa mahakamani.
 
jAMANI KAMA KUNA MTU ANAYO HIYO ARTICLE INGEKUWA VYEMA KAMA ANGEIPOST
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom