Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,604
- 3,163
- Mukulu Invisible heshima sana kwa hii tangulizo, bado tunasbiri habari yenyewe ili tuchambue facts,
- Ingawa anytime serikali inaporukia vyombo vya habari huwa ni dalili zisizo njema kwa the future ya taifa on the freedom of speech!
Respect.
FMEs!
Wakuu,
Hivi kwa nini hii sheria ya kuipa nguvu serikali kufungia vyombo vya habari bado inaendelea kukubalika itumike? Mimi nilidhani kama gazeti likiandika habari zisizosahihi wahariri na mchapishaji wanapashwa kupelekwa mahakamani na kudaiwa fidia lakini si kufungiwa. Hivi tunaweza kudiriki kusema Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari kwa mtindo huu kweli?
Tiba