Gazeti la "Kulikoni" lafungiwa miezi mitatu; kutoka Jumatatu?

Hivi Serikali inauwezo wa kufungia gazeti kutokana na habari ambayo bado haichapwa?
 
Tunaposubiri/kusaka details, silioni hili kama suala la uwezo au ukilaza wa Mkuchika. Hapa ni mfumo (system) unafanya kazi. Kinachokosesha raha ni pale wakulu wa nchi wanapofikiria kwamba Watanzania wanahitaji kukingwa na "upotoshaji" wa vyombo vya habari. Kama vile wananchi hawana uwezo wa kupima; inabidi wadhibitiwe ili waendelee kutegemea kauli "sahihi" za watawala pekee.

Inapotokea kama hivi sasa ambapo idadi ya watu iliyokosa imani na vyombo vya utendaji na vya dola inazidi kuogezeka, CCM na Serikali yake wanahitaji kuona mbali zaidi na kuchukua hatua za dhati kusafisha uozo unaoibuliwa kila kukicha na kuhakikisha kuwa hatua hizo zinaonekana dhahiri mbele ya umma. Panapohitaji kuomba radhi; waombe na kuonyesha mikakati.

Aidha, wajenge utamaduni wa kupambanisha hoja kwa hoja ili kuwazima wale wote wanaoonekana kupotosha - au hata kuwachukulia hatua za kisheria kama ubavu upo. Hii kufungia magazeti na kusema jeshi, usalama wa taifa, n.k. haiwezi kuwa hoja endelevu leo hii. Hizo taasisi zilishapoteza hadhi ya u-nyeti siku nyingi; zinahitaji ukarabati mahsusi. Wanatupeleka pabaya. :mad:
 
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania.

Zaidi tutafahamishana baadae

Mkuu, hizo habari zinazogusa JWTZ ni za uongo au kweli? Tujuze, maana hata humu zimeshatoka habari za kashifa zinazoligusa Jeshi la Ulinzi, sijui JF nayo inafungika au la.
 
Kulikuwa na Story nzito ya Dowans next Monday ndio maana wakafungiwa leo ili wasiende mitamboni?

Kuna stori nzito ilikuwa inakuja jumatatu........lets follow the dots

Sasa story ya Dowans inahusiana vipi na JWTZ? Mbona stori za Dowans zimeandikwa sana tu na hakuna gazti lililofungiwa? Its not true
 
Na gazeti la LeoTena limefutwa na kuondolewa kwenye orodha ya magazeti chini kwa ukikwaji wa maadili ya kitanzania kwa kuchapisha picha chafu.
 
Mapambano yameanza tena, hakuna kulala hadi kieleweke.
Kwangu mkuchika ni moja kati ya Mawaziri wa hovyo kama alivyo Chiligati, Sophia Simba , Chikawe na Wapuuzi wengine. uelewa wake ni mdogo katika Issue nzito.....tuendelee kusubiri.

Na wewe una yako tu, sasa kama gazeti limeandika ishu za kiusalama zaidi ambazo zinaweza kuleta mtafaruku kwanini lisifungiwe. Hivi wewe jeshi la wananchi unalisikia au unalifahamu. Kuliko ofisi zivamiwe, na kupewa kipigo, ni bora tu kufungia gazeti ili jeshi lisamehe. Siunajua kwamba ni rahisi zaidi kumtukana Rais kuliko jeshi la wananchi? Hii inaweza kuwa imefanyika kwa manufaa ya gazeti lenyewe. Tusikimbilie kuhukumu.
 
Hapa mtapata habari yenyewe

http://dailynews.co.tz/home/?n=6609&cat=home

Pia,

  1. Alasiri na Lete Raha yamefungwa na Mzee Mengi kufuatia Mgomo wa Wafanyakazi wake jana.
  2. IPPMEDIA ikifa ni blow kwa demokrasia licha ya kwamba Mengi anatumia vyombo hivi kwa faida yake binafsi na wafuasi wake.
Asante kwa hiyo link, nimeisoma hiyo habari ambazo ni tuhuma kwamba wanajeshi wanaibia mitihani, sasa kwa kuwa geshi letu linaheshimika, imeonekana hizo habari si za heshima kwa geshi letu na taifa kwa jumla. na pia gazeti limeshindwa kudhibitisha hiyo taarifa zaidi ya kulitaka geshi/serikali kuunda tume kuchunguza hiyo kashfa.
 
In 'Kulikoni' Newspaper of November 27th, 2009, issue number 812, it published a story, purporting that soldiers of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) cheat in national examinations. 'Kulikoni' newspaper is owned by Media Solution of Dar es Salaam.

The story published alleged that the process of making and doing exams in the army provides easy chances for officers who are not qualified.

The story further alleged that TPDF exams of 25th May, 2009 in Dar es Salaam, Ruvuma, Tabora, Arusha, Mwanza and Zanzibar, were leaked out and that Ruvuma and Tabora were the leading culprits.

The story, according to the minister, breaches the National Security Act of 1970 and the Newspaper Act of 1976, "which prohibits publication of seditious stories that might cause unrest within the army.

"The country's army holds respect across Africa, because it has been tested in different circumstances, including fighting in a war against the Idi Amini regime in Uganda. TPDF is also among peace keeping forces in United Nations and African Union units," Mr Mkuchika explained.

Due to its respectable position, some countries in Africa have invited the army for combat training, the minister said.

Kwakweli Mhe. Mkuchika akili yake ni ndogo sana, tena gazeti la Serikali kwa kumwonea huruma wasingechapisha haya maelezo utumbo ya Waziri.

Mtu mwenye dhamana kubwa ya Uwaziri utawezaje kutoa arguement kama hizi? Unaambiwa mitihani iliibiwa na mfumo unatoa mianya ya kuibiwa kwa mitihani, Waziri anadai jibu kwa kurejea vita ya 1979.

Inaudhi! mijitu mijinga kupewa dhamana kubwa hizi...
 
Kwakweli Mhe. Mkuchika akili yake ni ndogo sana, tena gazeti la Serikali kwa kumwonea huruma wasingechapisha haya maelezo utumbo ya Waziri.

Mtu mwenye dhamana kubwa ya Uwaziri utawezaje kutoa arguement kama hizi? Unaambiwa mitihani iliibiwa na mfumo unatoa mianya ya kuibiwa kwa mitihani, Waziri anadai jibu kwa kurejea vita ya 1979.

Inaudhi! mijitu mijinga kupewa dhamana kubwa hizi...

I concur with you! Mkuchika bure kabisa, hamna kitu! Yawezekana kuna kundi la Wanasiasa wana bifu na KULIKONI na wamemtumia yeye kulifungia kwa sababu za kipuuzi kabisa.

Nakumbuka kuna Gazeti liliwahi kuandika kuwa Mkuchika azomewa Jimboni kwake (ilikuwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu, sikumbuki lilikuwa gazeti gani isijekuwa lilikuwa ni la IPP Media.
 
THE government:-

1. has banned 'Leo Tena' and suspended 'Kulikoni' newspapers for publishing seditious and defamatory news articles. The ban means 'Leo Tena' will no longer be published.

Briefing journalists this noon, the Minister for Information, Culture and Sports, Mr George Mkuchika, said that:-

1. 'Leo Tena,' published a front page pornographic picture, depicting two women in a compromising position.

- "This is against the laws that govern newspapers in the country.


- I mean hapa kama kweli tuna sheria isiyoruhusu magazeti yetu ku-print picha za binadam wakiwa uchi, basi serikali inayo probable course, lakini je mbona hawa hawakupewa nafasi ya kujitetea?

- Unless hiyo sheria iko very straight na clear kwamba one shot unafutwa kabisaa, hawa walitakiwa kupewa their due process na wangeshindwa hapo kweli,

Respect.


FMEs!

 
Japo siungi mkono uminyaji wa aina yoyote uhuru wa habari, naunga mkono kufungiwa kwa Kulikoni, japo uungwaji mkono wangu, sio kusuport kufungwa kwa hii story ya Jeshi, Kulikoni lilitakiwa liwe limefungwa zamani sana kwa kukomalia habari za ufisadi wa Rada, kufikia kiwango cha kuwalisha maneno SFO ili kuisensenalize hiyo issue by blowing it beyond proportions, kwa heshima ya Mengi, Kulikoni has always been spared!.

Sasa hili la habari za jeshi, kiukweli, Mkuchika kachemka big time kulifungia na hapa ametangaza vita na Mengi, amini nawaambieni kwa mara ya kwanza, serikali inakwenda kushindwa mahakamani na Kulikoni linafunguliwa.

Nimemsikiliza Mkuchika akitangaza kwenye news Channel Ten, leo ndio kwa mara ya kwanza nimesikia eti The TPDF Act of 1966 inahusika.

Nielewavyo mimi, sheria halali ni The Newspaper Act of 1976. Kulikoni ilichoandika hakihatarishi usalama wa taifa wala wa Jeshi, bali limelivua nguo jeshi hilo na kwa kuiweka image yake into disrepute.

Sababu halisi sio hatari za kiusalama, bali ni kuficha aibu ya jeshi kuhusu uozo huo ni kweli, ila kwa vile jeshi letu linaheshimika mpaka nje ya mipaka yetu, kitendo cha kulivua nguo na kuliacha uchi jeshi, kutahatarisha heshima ya jeshi letu kitaifa na kimataifa na sio kuhatarisha usalama wa taifa, hivyo wakienda mahakamani, Kulikoni wanashinda.

Jumatatu mtashuhudia timu ya wanasheria wa Mengi wakitinga mahakamani.

Mzee Mengi, nenda mahakamani ila pia hata mkishashinda, Kulikoni sasa mpunguze sensationalism na personal vendetta, rudini mstarini tuendelee kazi ya kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha.

Poleni wapenda haki wote, ila pole pia Invisible!.
 
Huyu Mkuchika vipi anapiga mpaka maiti? gazeti lenyewe lilisha jifia ages ago!
Nakubaliana na wewe yaani kayafanyia marketing indirectly. Kwanini asingesubiri hayo magazeti yafe? Maana yalikuwa yanakaribia natural death.

Sasa amewapa watu cha kusema, nchi itadhalilika kwa uhuru wa vyombo vya habari.
 
Au mwenye magazeti ameona wakati wake umefika ngoja yafungiwe kuliko kufa! Maana bongo kuna siasa za kutosha. Ngoja tumsikie na yeye anasemaje!
 
2. "Kulikoni' newspaper has been suspended for 90 days starting next Monday -- January 11, 2010.

3. In 'Kulikoni' Newspaper of November 27th, 2009, issue number 812, it published a story, purporting that soldiers of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) cheat in national examinations. 'Kulikoni' newspaper is owned by Media Solution of Dar es Salaam.

- The story published alleged that the process of making and doing exams in the army provides easy chances for officers who are not qualified.

- The story, according to the minister, breaches the National Security Act of 1970 and the Newspaper Act of 1976, "which prohibits publication of seditious stories that might cause unrest within the army.

According to the minister, 'Kulikoni' editor refused to provide evidence and instead asked TPDF to form a committee that would look into the matter and the newspaper would publish the committee's report.

"The editor could not substantiate his claims in the story, after he was formally asked by the registrar of newspapers," noted Mr Mkuchika. Both notifications have been published in the Government's Notice yesterday, the minister added.


- Well kwa mtizamo wangu looking at this facts serikali inaonekana kuwa on the right side of the law kama sheria ipo kweli, as opposed na kesi ya kwanza this one gazeti limepewa fursa ya kujieleza limeshindwa,

- However: Ni vyema tukajua sheria inasema nini kuhusu sources za habari za magazeti yetu? Maana ninakumbuka ile kesi ya TIMEs kule US, ambapo muandishi aliishia jela kwa kukataa kusema source yake, ingawa mwishowe aliishia kuisema na kuachiwa jela, hapa kwa maoni yangu linakuwa ni tatizo la interpretation ya sheria zaidi kuliko siasa.

- Tatizo hapa na nitaliweka in a speculation manner linaweza kuwa the timing ya hizi adhabu, katika kuelekea kwenye uchaguzi na hasa baada ya onyo la Rais kule Mwanza kuhusu magazeti yetu, hilo linatia wasi wasi sana na timing hapa.

- Mkuchika alipolifungia Mwanahalisi, tulisema kwamba alikuwa wrong kwa sababu alipewa ushahidi akaukataa, sasa Kulikoni, wanaweza kudai kwamba waliona kwamba kutoa ushahidi au kutoutoa hakuwezi kubadili anything, kufuatia history ya waziri na Mwanahalisi, lakini wale wengine hawakupewa hata nafasi ya kujieleza ndio pnapotia wasi wasi!

- The bottomline ni kwamba kuyafungia magazeti wakati wa kuelekea uchaguzi inatia wasi wasi sana na motive ya serikali, na hasa Mkuchika ambaye pia ni kiongozi wa CCM chama kinachojitayarisha kwenye uchaguzi huu!

Respect.

FMEs!
 
- Well kwa mtizamo wangu looking at this facts serikali inaonekana kuwa on the right side of the law, as opposed na kesi ya kwanza this one gazeti limepewa fursa ya kujieleza limeshindwa,

- However: Ni vyema tukajua sheria inasema nini kuhusu sources za habari za magazeti yetu inasema nini? Maana ninakumbuka ile kesi ya TIMEs kule US, ambapo muandishi aliishia jela kwa kukataa kusema source yake, ingawa mwishowe aliishia kuisema na kuachiwa jela, hapa kwa maoni yangu linakuwa ni tatizo la interpretation ya sheria zaidi kuliko siasa.

- Tatizo hapa na nitaliweka in a speculation manner linaweza kuwa the timing ya hizi adhabu, katika kuelekea kwenye uchaguzi na hasa baada ya onyo la Rais kule Mwanza kuhusu magazeti yetu, hilo linatia wasi wasi sana na timing hapa.

- Mkuchika alipolifungia Mwanahalisi, tulisema kwamba alikuwa wrong kwa sababu alipewa ushahidi akaukataa, sasa Kulikoni, wanaweza kudai kwamba waliona kwamba kutoa ushahidi au kutoutoa hakuwezi kubadili anything, kufuatia history ya waziri na Mwanahalisi, lakini wale wengine hawakupewa hata nafasi ya kujieleza ndio pnapotia wasi wasi!

- The bottomline ni kwamba kuyafungia magazeti wakati wa kuelekea uchaguzi inatia wasi wasi sana na motive ya serikali, na hasa Mkuchika ambaye pia ni kiongozi wa CCM chama kinachojitayarisha kwenye uchaguzi huu!

Respect.

FMEs!
Nakubaliana na wew kabisa. Wakati wa uchaguzi inatia shaka, je kuna wakati maalum wa kuyafungia? Halafu uchaguzi unaanza lini hadi sasa hivi uwe wakati wa uchaguzi? Kisingizio cha uchaguzi ndio iwe sababu ya uvunjunjaji wa sheria? Mwanahalisi ilikuwa wakati wa uchaguzi? Nadhani hoja iwe kwenye sheria na namna ambavyo hawa jamaa walivyoitwa kujitetea na wengine wakagoma kutoa ushirikiano.
 
1. Japo siungi mkono uminyaji wa aina yoyote uhuru wa habari, naunga mkono kufungiwa kwa Kulikoni,

2. japo uungwaji mkono wangu, sio kusuport kufungwa kwa hii story ya Jeshi,

3. Kulikoni lilitakiwa liwe limefungwa zamani sana kwa kukomalia habari za ufisadi wa Rada, kufikia kiwango cha kuwalisha maneno SFO ili kuisensenalize hiyo issue by blowing it beyond proportions, kwa heshima ya Mengi, Kulikoni has always been spared!.

4. Sasa hili la habari za jeshi, kiukweli, Mkuchika kachemka big time kulifungia na hapa ametangaza vita na Mengi, amini nawaambieni kwa mara ya kwanza, serikali inakwenda kushindwa mahakamani na Kulikoni linafunguliwa.

Nimemsikiliza Mkuchika akitangaza kwenye news Channel Ten, leo ndio kwa mara ya kwanza nimesikia eti The TPDF Act of 1966 inahusika.

Nielewavyo mimi, sheria halali ni The Newspaper Act of 1976. Kulikoni ilichoandika hakihatarishi usalama wa taifa wala wa Jeshi, bali limelivua nguo jeshi hilo na kwa kuiweka image yake into disrepute.

Sababu halisi sio hatari za kiusalama, bali ni kuficha aibu ya jeshi kuhusu uozo huo ni kweli, ila kwa vile jeshi letu linaheshimika mpaka nje ya mipaka yetu, kitendo cha kulivua nguo na kuliacha uchi jeshi, kutahatarisha heshima ya jeshi letu kitaifa na kimataifa na sio kuhatarisha usalama wa taifa, hivyo wakienda mahakamani, Kulikoni wanashinda.

Jumatatu mtashuhudia timu ya wanasheria wa Mengi wakitinga mahakamani.

Mzee Mengi, nenda mahakamani ila pia hata mkishashinda, Kulikoni sasa mpunguze sensationalism na personal vendetta, rudini mstarini tuendelee kazi ya kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha.

Poleni wapenda haki wote, ila pole pia Invisible!.

- Mkulu Pasco, just curious unasema kwa jinsi unavyoijua sheria ya magazeti ya mwaka 1976, Mkuchika amekosea sana, vipi ukaiweka hiyo sheria wazi tuione hapa na hii aliyoinukuu ya mwaka 1966, ambayo unasema haihusiki?

- Kama ninakuelewa vizuri, sheria ya mwaka 1976 inaruhusu what Kulikoni did na kuishia kufungiwa na kwamba hiyo sheria ya mwaka 1976 inaweka wazi kwamba walichokifanya Kulikoni sio kuhatarisha usalama, isipokuwa wamewavua nguo JWTZ,

- Very interesting I wish usingejali kuiweka hapa hiyo sheria.

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom