Gazeti la Jamvi la habari lifungiwe kwa kuandika habari za uongo kwa nia ya kumsifia Rais

hao jamaa sio kosa lao maana wamechukua maneno ya MC wa ile sherehe maana MC alikua anawapamba kweli kweli
hahaaa MC ndio alikuwa anasema hvyo...sasa shughuli siilikuwa nawageni waalikwa au...??
maana kama walikuwapo then wakayaskia maneno hayo siaibu hiyo..!!?
 
unamfungia mtu kuuza maindi yake lakini unamlisha kwa muda wote ambao hatouza maindi maana imekubidi kumfanya mfano japo maindi alikuwa anakuletea kwa bei rahisi nia ikiwa ni kutisha wasiokuuzia......tafakari
Aya maindi mahindi au tuseme maindi ya kuchoma baadala ya mahindi ya kuchoma
 
Hii ni dhihaka, wala sio sifa. Lisifungiwe ili liendelee na hizi zinazoitwa sifa.
 
Rais Magufuli afuatilie sana hizi sifa anazopewa..

Wengine wanamkejeli tu!
 
Back
Top Bottom