Nenga
Member
- Sep 3, 2007
- 77
- 21
Zk wa Serikali inunue Richmond, ZK wa Tunaharibu uhusiano wetu na China kwasababu tu, uamuzi wa kukopa pesa Exim Bank of China umebatilishwa!? Leo kadandia issue ya Ndege tena amesahau kwamba alituambi hata hizi bombadier ni used. Siwezi kuwa Na ubongo wenye malyenge katika kutambua hili. Zk ni kibaraka wa madarali wa Biashara kubwa za sina hiyo ya Ndege,Richmond etc, sasa hivi uelewa wa watanzania imekuwa IPO siku atakuja kuaibika Zaidi ya sasa hivi.