Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

nilitegemea kuona maelezo ya habari na sio picha ya mbele y gazeti. ila hongera kwa kuwa wa kwanza kupost
 
New-Doc-2017-05-09_9.jpg
Huo ni ukarabati inapigwa rangi ni mtumba huo
 
Hakuna mtu wa ajabu kama zito, unajua alizoea sana kupiga ukuda na watu tulikuwa hatumfahamu kuwa ni mtu wa namna gani, lakini siku zote Mungu hamfichi mnafiki-alipiga ukuda kwenye za mwanzo na akachemka, ss tena ukuda kwenye boeing-aibu zake
 
bhana wabongo........ niwataalamu wakila jambo ata haina za series za ndenge Jpm ana kazi kuwatawala!!!!!!!
Ndege ipo gereji ya wachina kunyoosha bodi wanawahadaa watanzania kuwa ndiyo inatengenezwa , Madalali wa hilo Dili wapo tayari kuchukua picha ya order za ndege za KLM au wengineo wakaweka hapo ili kuwahadaa watanzania wengi ambao hawajuia kuwa mtumba wa ndege ukisukwa vizuri ni vigumu wajue mapungufu yake.
 
Hakuna Ukuda hapo Zito kasema Ukweli lakini Madalali wa ununuzi wa ndege ndiyo wametengeneza mazingira ya kuwaaminisha watanzania kuwa ndege ni mpya, lakini endeleeni kumlaumu Zito lakini ipo siku mtakumbuka huo Ukweli.
 
Mkuu umejenga hoja vyema kabisa..Kwa maelezo ya Mbarawa na muda ambao tuliambiwa ndege itakabidhiwa na hali halisi ya picha iliyipigwa Jumamosi hii mi napata ukakasi
Kwani mbarawa alisema inakuja lini..!?
Jamani ndege inakuja mwezi wa 7 mwaka 2018 huo Mda unatosha Sana kuimalizia hiyo ndege...!!
Watanzania Wenzangu tusiwe na imani haba kwa serikali yetu...!!
 
Tatizo ni uthibitisho usio na shaka kutoka kwenye official sources kwamba ile tulionunua ni TT. Kwa nini Uzushi unofficial news zinakuwa na nguvu kuliko kuwa wavumilivu kuona uhalisia au kutafuta habari sahihi. ngoja tusubiri kusoma content ya habari yote ndio tuone nini kinaelezwa hasa
Na hicho ndicho ulipaswa kufanya kwanza-kusoma content ya habari kabla ya kuikimbizia hapa!
 
jamaa anataka kushika kotekote kama pweza. Unashindwa kujua tatizo ni dawa au ndege mbovu. kwa utaratibu huu nadhani wakosoaji ndio hawana vipaumbele
Madalali wa ununuzi wa ndege GSM na Bashite ambaye hula 10% kila ndege ndiyo wametengeneza hiyo Sinema ili kuwahadaa watanzania wajue kuwa Ndege ni mpya kumbe ni changa la macho tu hakuna kitu humo ni mitumba kwa kwenda mbele.
 
Ndege ipo gereji ya wachina kunyoosha bodi wanawahadaa watanzania kuwa ndiyo inatengenezwa , Madalali wa hilo Dili wapo tayari kuchukua picha ya order za ndege za KLM au wengineo wakaweka hapo ili kuwahadaa watanzania wengi ambao hawajuia kuwa mtumba wa ndege ukisukwa vizuri ni vigumu wajue mapungufu yake.
Zito hana ukweli wowote ule, endeleeni kumwamini ukishawekewa kitambaa cheusi usoni huwezi ona mbele.
 
Tatizo ninaloliona kwa gazeti la jamuhuri kwa kichwa chao cha habari. Hawakuingia kazini kutafuta ukweli bali walienda kupambana na Zitto.
Msingi wa Habari yao ulipaswa kutafuta ukweli wa habari na si kutafuta nani mshindi kati ya serikali au Zitto.
Kwani Zitto aliwaambia ye atashangilia siku tukipata kitu kibovu au kelele zake ni ili kama wameharibu au wamepigwa mahala warekebishe mapema ili mwisho wa siku tupate kilicho bora?
 
Kwani mbarawa alisema inakuja lini..!?
Jamani ndege inakuja mwezi wa 7 mwaka 2018 huo Mda unatosha Sana kuimalizia hiyo ndege...!!
Watanzania Wenzangu tusiwe na imani haba kwa serikali yetu...!!
Mkuu ndege ni ya mtumba itakuwa gereji inapigwa Puti kisha wazuge kuwa mwakani mwezi wa 7 itakuwa tayari, wanajua kuwa ni vigumu kwa watanzania kwenda kuzifikia ndege kuzichunguxa kwa makini kama ni mpya au laa , walishajua watanzania ni wepesi wa kuamini Sinema za picha ndiyo maana wameunda hii sasa.
 
Hakuna Ukuda hapo Zito kasema Ukweli lakini Madalali wa ununuzi wa ndege ndiyo wametengeneza mazingira ya kuwaaminisha watanzania kuwa ndege ni mpya, lakini endeleeni kumlaumu Zito lakini ipo siku mtakumbuka huo Ukweli.
Zito hana ukweli wowote ule, kabakiza majungu2-mlozoea majungu mtaendelea kufurahia sana.
 
Tatizo ninaloliona kwa gazeti la jamuhuri kwa kichwa chao cha habari. Hawakuingia kazini kutafuta ukweli bali walienda kupambana na Zitto.
Msingi wa Habari yao ulipaswa kutafuta ukweli wa habari na si kutafuta nani mshindi kati ya serikali au Zitto.
Kwani Zitto aliwaambia ye atashangilia siku tukipata kitu kibovu au kelele zake ni ili kama wameharibu au wamepigwa mahala warekebishe mapema ili mwisho wa siku tupate kilicho bora?
Naunga mkono hoja yako mkuu, pia naongezea kuwa Zito amejaribu kuwashitua mapema ili wajiandae kutengeneza Uongo ambao utalingana na Ukweli yaani watengeneze ndege hizo mitumba ziendane na ndege mpya, ukarabati uwe mkali waweke spea mpya mpya angalau ndege zionekane ni mpya kwani watanzania hawana uwezo wa kwenda kuzichunguza zote popote.
 
bhana wabongo........ niwataalamu wakila jambo ata haina za series za ndenge Jpm ana kazi kuwatawala!!!!!!!

Kila kitu kikiwa wazi na chenye kufuata utaratibu hakutakiwa na Kelele, lakini unapodanganya dunia hii ya sasa ya utandawazi ni lazima awe na kazi
 
Zito hana ukweli wowote ule, kabakiza majungu2-mlozoea majungu mtaendelea kufurahia sana.
ww ndugu yake Bashite aliyekula 10% uttetezi wako kwa kisingizio cha Majungu hauna nafasi kwa watanzania wa sasa, hilo neno Majungu halitakaa liondoe dhana ya kuzichunguza ndege na Ukweli wa Zito.
 
Back
Top Bottom