Gazeti la jambo leo na silaha za kivita za chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la jambo leo na silaha za kivita za chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tindikalikali, Apr 21, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hili gazeti leo limeandika "bunduki zaidi zakutwa", mwanzo waliandika "CDM yamiliki silaha za kivita", Kila nikakaa na kuwatafakari hawa jambo leo nakosa majibu, hivi wanachokiandika wanaweza kukithibitisha?
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  akili zao, hasa huyo Lutego, za maji taka. Hawajui wasomaji wanawaelewa vizuri. Naona biashara yao ni kuuza magazeti kwa kilo yakishabaki yote mitaani. Au raha yao ni kuenjoy uchambuzi kwenye tv na redio
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Bila shaka unamaananisha 'Jamba Leo?'
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi ningekuwa mmiliki wa gazeti hilo ningelibadilisha jina. Sioku hizi hata kwenye newsstands watu huuliza Lipo Jamba Leo? -- au jamba leo limetoa ushuzi gani leo?"

  Wamiliki -- nadhani akina Riz 1 hawajui tu hayo nawaomba wafanye utafiti!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  CCM oyeeee, magamba juu zaidi
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maybe they meant these ones.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Wananchi Nao ni Salaha kubwa, bunduki kubwa kwa ccm

  [​IMG]
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Unategemea nini kama Gazeti laitwa Jamba leo..si ni ushuzi mtupu utakuwa umeandikwa humo ndani.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gazeti la riziwani.
   
 9. C

  Chogo matata Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Jamani mmesahau kua gazeti lenyewe linamilikiwa na mtoto wa rais? Ridhiwan kikwete ndo mana limekua against na chadema,wanajisumbua hawaoni mtz sasa wamejivua gamba?
   
 10. p

  plawala JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Litadoda sokoni,wanauza kopi ngapi kwa siku?
   
 11. l

  lyimoc Senior Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawana lolote hao magamba wamepata cha kusema hao mafisadi
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona kwao ni bora kuuza gazeti
   
 13. Sabonga

  Sabonga Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gazeti la mafisadi!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...