Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Hili limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za kichochezi tangu kipindi cha kampeni hadi sasa na bado linatinga mtaani,
ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuna mtu nyuma ya hili gazeti mwenye ajenda binafsi,je nani haswa anamiliki hili gazeti?
 
Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto.

Ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingereza kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.
 
na tulimulike zaidi kwani upo uwezekano mkubwa likawa lintumia kodi za masikini wa kitanzania
 
umesema kweli ni la riz kama mtakumbuka issue yk ya kwanza ilitoka ikiwa na matangazo ya serikali hatua za mawaziri bungeni , pinto pekee hana ubavu wa kupiga matangazo yote yale tenets kabla gazeti halijaonekana
 
Unaandika "Hili limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za kichochezi" bila kutukandamizia hizo "habari za kichochezi"? Sasa ni gazeti linaandika hizo "habari za kichochezi" au ni wewe unaandika uchochezi?

Ukishutumu mtu au maandiko yake ni cyema ukayaweka wazi la sivyo tunachukulia kuwa wewe ndie mchochezi. Hii ni kwa wachache wenye uwezo wa kufikiri.
 
Limeanzishwa na Ridhiwani Kikwete kupitia business partner wake Juma Pinto. Wamiliki wengine ni mafisadi pamoja na Malegesi yule aliyehusika na kashfa ya EPA lakini mpaka leo hajafikishwa mahakamani, na wengineo
 
Pinto mtaji huu aliupata baada ya kupata tender ya TTB kwamba Jambo UK watatangaza utalii wa Tanzania .Pinto UK hakuwa na kazi ya kumfanya awe hapo bali ni ujanja wa Malegesi na Ridh na ndiyo Jambo Kijana TZ rasmi kisiasa na siasa zimeisha wengi wamefukuzwa kazi wana ambiwa the mission is over and only few of them are needed in the office,sasa tuanzie hapo
 
I even feel like vomiting to talk about Jamboleo.It is not a serious and credible newspaper, and on the contrary it is just there to disseminate propaganda, prejudice, character assassination, and all sorts of unprofessional type of practices.Just ignore it.
 
ni kweli kuna mkono wa mafisadi wa Kisiasa na Kiuchumi, Kisiasa EL na RA kiuchumi Riz na Malegese
 
Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto, ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingerezxa kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.

Gazeti jambo leo linamiliiwa kwa ubia kati ya RIDHIWANI KIKWETE NA JUMA PINTO na asilimia kubwa liko mikonono mwa ridhiwani huku mtu mmoja anayeitwa Wambura akiwa Mtendaji mkuu wa gazeti hili.

Pinto alitumika tu lakini mtaji wa gazeti chini ya ridhiwani kikwete,yeye yuko kwenye maandishi tu
 
Back
Top Bottom